Niliyoyashuhudia Jeshini

Kwani wewe ulienda bila details yoyote kabla?
Tulikua bogi la kwanza. Form six 2013. Walianza kuchukuliwa wale waliomaliza baadhi ya shule March to June. Ile wametoka tu wakachukua waliofaulu kwa division one na two. Halafu kwa vile ni kitu kigeni mzazi anasema usipoenda wakikunyima chuo sikupeleki kokote.
I had nowhere to learn and no one to ask. Niliyashuhudia siku nashuka kanembwa Juni 19, 2013. Siku ile tunafika tulikua na mtoto wa Mkurugenzi wa Atcl na alikuja na ndege mpaka Kigoma. Usiku hakuna godoro nikatandika taulo mimi na mshikaji tuliojuana kwenye kwata ya kuelekea hangani kutoka getini huo mchana, yeye alibaki anatushangaa usiku mzima tumelalaje maana alishindwa aisee. Saa kumi kamili Marwa kama sijakosea anaingia bwenini kutuamsha jamaa bado hajaweza kufunga jicho.
 
sio uongo kuna cozi ambazo zinahitajika sana jeshini kama walio soma physics, chemistry na mathematics...wanapataga bahati ya kubaki kwa kuombwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]​
Na PCB pia huwa wanaombwa kubakiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikua naona kuchelewa muda wa kambi uishee, sio kwa mateso yalee.
 
Was insane!
Muhimu tunaenda tunatoka salama.
 
KANEMBWA HIYO KAMBI YA WAKIMBIZI NILIKUA HAPO 1996 NIKIWA NA AJIRA UNHCR!!!
SIKU HZI NI KAMBI YA JESHI
 
Mm jeshi hapana hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…