Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Mkuu kuna viapo huwezi sema!!!!!Jitoe siku moja ulete
Ila jeshini kuna mengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kuna viapo huwezi sema!!!!!Jitoe siku moja ulete
kama ulipita jeshi itakuwa ulikuwa operation Mageuzi...ama operation oljoro...SAMAHANI WADAU MBONA NAONA KAMA WENGI HUMU NI KAMA MMEZALIWA KUANZIA 1993???
SISI TULIOZALIWA 1970,S TUNA STORY ZETU TOFAUTI KABISA KUHUSU JESHI
Tulikua bogi la kwanza. Form six 2013. Walianza kuchukuliwa wale waliomaliza baadhi ya shule March to June. Ile wametoka tu wakachukua waliofaulu kwa division one na two. Halafu kwa vile ni kitu kigeni mzazi anasema usipoenda wakikunyima chuo sikupeleki kokote.Kwani wewe ulienda bila details yoyote kabla?
Na PCB pia huwa wanaombwa kubakiii.sio uongo kuna cozi ambazo zinahitajika sana jeshini kama walio soma physics, chemistry na mathematics...wanapataga bahati ya kubaki kwa kuombwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
yap combination yote ya science...ni hot sana jeshini...!Na PCB pia huwa wanaombwa kubakiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikua naona kuchelewa muda wa kambi uishee, sio kwa mateso yalee.
Rudi nyuma kidogo mkuu hujakoseakama ulipita jeshi itakuwa ulikuwa operation Mageuzi...ama operation oljoro...
kumbe na wewe umepitia...harafu unabana...!🤭🤭🤭Na PCB pia huwa wanaombwa kubakiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikua naona kuchelewa muda wa kambi uishee, sio kwa mateso yalee.
Was insane!Tulikua bogi la kwanza. Form six 2013. Walianza kuchukuliwa wale waliomaliza baadhi ya shule March to June. Ile wametoka tu wakachukua waliofaulu kwa division one na two. Halafu kwa vile ni kitu kigeni mzazi anasema usipoenda wakikunyima chuo sikupeleki kokote.
I had nowhere to learn and no one to ask. Niliyashuhudia siku nashuka kanembwa Juni 19, 2013. Siku ile tunafika tulikua na mtoto wa Mkurugenzi wa Atcl na alikuja na ndege mpaka Kigoma. Usiku hakuna godoro nikatandika taulo mimi na mshikaji tuliojuana kwenye kwata ya kuelekea hangani kutoka getini huo mchana, yeye alibaki anatushangaa usiku mzima tumelalaje maana alishindwa aisee. Saa kumi kamili Marwa kama sijakosea anaingia bwenini kutuamsha jamaa bado hajaweza kufunga jicho.
Hasa PCB na PCM, due to Dr n Eng.yap combination yote ya science...ni hot sana jeshini...!
au miaka 30 ya uhuru...?Rudi nyuma kidogo mkuu hujakosea
KANEMBWA HIYO KAMBI YA WAKIMBIZI NILIKUA HAPO 1996 NIKIWA NA AJIRA UNHCR!!!Tulikua bogi la kwanza. Form six 2013. Walianza kuchukuliwa wale waliomaliza baadhi ya shule March to June. Ile wametoka tu wakachukua waliofaulu kwa division one na two. Halafu kwa vile ni kitu kigeni mzazi anasema usipoenda wakikunyima chuo sikupeleki kokote.
I had nowhere to learn and no one to ask. Niliyashuhudia siku nashuka kanembwa Juni 19, 2013. Siku ile tunafika tulikua na mtoto wa Mkurugenzi wa Atcl na alikuja na ndege mpaka Kigoma. Usiku hakuna godoro nikatandika taulo mimi na mshikaji tuliojuana kwenye kwata ya kuelekea hangani kutoka getini huo mchana, yeye alibaki anatushangaa usiku mzima tumelalaje maana alishindwa aisee. Saa kumi kamili Marwa kama sijakosea anaingia bwenini kutuamsha jamaa bado hajaweza kufunga jicho.
Umetisha mdogo wanguau miaka 30 ya uhuru...?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe na wewe umepitia...harafu unabana...![emoji2960][emoji2960][emoji2960]
nimefurahi sana kukusikia...haswa kuwa na wewe ni mzalendo...🤣🤣🤣 wallah jeshi lilipatwaHasa PCB na PCM, due to Dr n Eng.
Ndo wanapenda sanaa.
🤭 ShikamooKANEMBWA HIYO KAMBI YA WAKIMBIZI NILIKUA HAPO 1996 NIKIWA NA AJIRA UNHCR!!!
SIKU HZI NI KAMBI YA JESHI
Toa B weka M, ndo nilipiga advance.Usiniambie ulikua PCB nitacheka mbavu ziume[emoji1]
Mm jeshi hapana hahahaSEHEMU YA 2
Ilipoishia..........
Sasa tulivyoloa vumbi hadi kope mtu ukimuangalia mwenzako unatamani kucheka ukisikilizia maumivu ya miguu unatamani kulia......
Endelea
Mpaka tumefanikiwa kulifikia geti kuna kuruta waliozimia njiani, wengine kilio kikubwa mimi mmojawapo Aisee wanajeshi waheshimiwe sio kwa mazoezi yale.
Getini tukaambiwa aya kila mtu alale chini mnaingia ndani kwa kubimbilika tranka liache hapohapo, Niliona Afadhali kubimbilika kuliko kuruka kichurachura fasta wazee tukaanza kuingia ndani kwa kubimbilika wengi hapa tuliumia sababu chini kuna vikokoto .
Tumeingia tumekuta kuruta wengi sana tukaungana nao hapo mimi wazo langu ni moja tu KURUDI NYUMBANI.
Tukaanza kupangwa unaitwa jina unaenda upande mwingine zoezi lilienda hadi saa 4 usiku.
Sasa mjeda mmoja akasema tumeita wote nyie majina yenu hayapo vipi? Tulikua wengi kiasi, mimi nilitoa sababu kua nimepangiwa Rukwa lkn kule baridi kali siwezi nina matatizo ya mbavu.
Walituelewa wote tukaruhusiwa.
Sasa majina yakaanzwa kuandikishwa, mimi narudi nyuma mjeda akaniona akanita alikua mmama.
Wewe vipi mbona unarudi nyuma? Nikaanza kulia! Kumbe ndo naharibu akashout "Maafande njooni muone kuruta analia" wote wakaja "Kuruta unalia?" Ebu chuchumaa nikachuchumaa fasta maswali yakaanza unaitwa nani nikataja jina umetokea wapi nikasema, unalia nini nikasema Nataka kurudi nyumbani.... Wewe nilikoma!!! Aya simama twende squat 100 nikaanza kupiga squat huku machozi kama yote basi wanacheka
Sikuzimaliza nikaambiwa ungana na wenzako hapa kuna kuingia hamna kutoka.
MAMBO RASMI
Tukakusanywa uwanja wa damu (uwanja wa damu - uwanja wa mazoezi, paredi) hapo kumbuka hatujapumzika tokea tumefika tukaanza kupewa risala huku tumesimama ole wako usinzie, tupo wengi na wajeda wengi pia ukigeuka huyu hapa
Tukafunguliwa stoo, ipo pembeni ya uwanja tunaingizwa kwa mafungu "ingia toka na godoro ole wako uchelewe kutoka"
Wanajeshi wakali kitu kidogo ushakula tusi tena la mzazi huna cha kumfanya na ole wako unune[emoji23]
Mimi nilivyoingia chap nimetoka na godoro bahati nzuri yote ni mazuri yamejaa.
Mpaka tunaruhusiwa kwenda Angani (Angani - Hall la kulala) muda umeenda karibia alfajiri.
Nimeingia na marafiki zangu, hapo nimekutana na wale tuliosoma nao advance, sekondari tulikua kama 7 Anna akiwepo.
Tukashauriana tukaoge tulionyeshwa sehemu zote za muhimu mabomba, vyoo.
Sasa tunachota maji akaja mjeda anayejitolea akasema eee kuruta mnaenda kuoga sasa hivi? Sasa sisi tunabaki tunashangaa sababu tulikua kuruta wengi kumbuka hapo ni saa 9 alfajiri
"Bora mkalale dakika chache zilizobaki, muda si mrefu filimbi inalia"
Kudadeq " Anna mimi siwezi hapa kesho namwambia maza anifate" hapo nalia, wengi wanajuta kwenda jeshi muda huo.
Tukapiga moyo konde tukaenda kuoga, tunarudi lisaa hata haijafika tunasikia filimbi wajeda wakike kama wote wamekuja na virungu kutuamsha
Sasa hata hatujalala halafu tunaamshwa hii ni hatari.
Wengine waliolala bila kuoga wanaamka fasta wanachukua miswaki na ndoo eti wakaoge! [emoji23]
Wajeda walitembeza virunguu! "Mnaenda kuoga kwani hamjasikia filimbi, hapa hamna kupiga mswaki wote uwanja wa damu fastaa" kiaina nilishukuru Mungu nimeoga sababu sio kwa vumbi lile plus kugaragara chini.
Tukakusanyika uwanja wa damu saa 10 alfajiri, Kuna wale wanaojitolea wanoko sana! Tukapewa watusimamie uelekeo mchakamchaka basi tukawekwa ki kombania, Mimi nikafight nikawa kombania B pamoja na Anna.
Uelekeo ukaanza jogging tumekimbia huku tunaimba plus wajeda nyuma na gari, hilo gari kumbe ni kwaajili ya kubeba wale watakaozidiwa njiani au kuzimia.
Sasa tunakimbia nikicheki tunapita ile road tuliyokuja nayo jana kutoka mjini. Nikafikiria kwahiyo tunaenda hadi mjini au? Basi sina jinsi tulikimbia sana wengine wanazimia njiani wanapakiwa kwenye gari umbali ulikua kama kutoka Gongo la mboto hadi Airport kwa wanaojua hizo sehemu wataelewa.
Wakati tunarudi huku tunakimbia kushakucha ndo tunaonana vizuri[emoji1]ilikua vichekesho tumeloa vumbi hadi kope ndani ya pua kote vumbi masikioni usipime ukimuangalia mwenzako unacheka huna mbavu.
Tumerudi kambini tunakutana na majembe, ndoo za michanga. Mimi nilijua tukirudi tunapumzika kumbe kazi inaendelea nilijihisi kukonda kwa siku moja.
Tukapangiwa kazi nikaangukia kwenda shamba, tena huko shamba ni kule tulipotoka kukimbia njia ile ya vumbi ya kutoka mjini katikati barabara pembeni kulia kushoto mashamba ya wajeda sina jinsi.
Tukapiga mguu huku nalia mbaya zaidi sikua na rafiki yangu niliyepangiwa nae kusema tungefarijiana, msidhani mimi mzembe wakuu hapana! Tuliolia tulikua wengi hadi wanaume, tena sikia hivihivi kwa ninavyohadithia kuliko ikutokee.
Njiani kuna mjeda akaniona ni wale wanaojitokea ni binti mzuri mweupe sijui alifata nini kule Wallah!
Akaniambia usilie utazoea mwaya, unaitwa nani nikamwambia Ephen, kumbe ni namesake wangu bhana akafurahi akaanza kunitambulisha kwa wale wajeda wengine huyu ni mdogo wangu. Kumbuka hawa wajeda tuliopewa twende nao shamba ni wale wanaojitolea sio waajiriwa.
Basi ikawa nafuu kwangu, "sasa huku tunaenda ni shamba kung'oa visiki, ningekujua mapema ningekupeleka kule shamba la kuvuna machungwa kule bata, ila usijali kesho utaenda huko" akaniambia
Tulifika shamba kama saa 2 hivi kazi ikaanza kung'oa visiki hawajali mwanaume wala mwanamke wote kazi kazi!
Kisiki kimoja watu watatu tena vile visiki vinene, nilipiga panga na jembe hadi marengerenge yananitoka nayaona
Nilisikitika sana nikajuta kwenda jeshi, nikakumbuka nyumbani nilijihisi nipo dunia ya peke yangu watu wote wameniacha.
Itaendelea...
Muemdelezo soma Niliyoyashuhudia Jeshini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nililazimishwaa, eti nikitoka huko nitakua mkakamavu,nimefurahi sana kukusikia...haswa kuwa na wewe ni mzalendo...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wallah jeshi lilipatwa