Niliyoyashuhudia Jeshini

Umetisha mdogo wangu
🤣🤣🤣🤣 mwaka 91 nilikuwa sijazaliwa...mwaka huo baba angu alikuwa kwenye ajira ana miaka 4 tokea asajiliwe...!

yeye alisajiliwa kati ya 88 au 87...!

enzi zenu ndio zile walio toroka ama waliliwa na Simba au walipambana na Simba uso kwa uso nyie watu mlipitia kipindi kigumu sana.

sio vijana wa siku hizi tumekuta kambi zimezingirwa na nyumba za Raia...!

mtu ukimwambia hapo kawe tu palikiwa pori zito lenye wanyama wakali awezi kuamini🤣🤣🤣​
 
That place is w little hell aisee. Ila hawa warundi na warwanda they have hidden somethings mule ndani. Tukiwa pale some people were killed around where americans built the villages to house them.
Mbona sisi ilikua poa tu.....tumepokea warundi pale kanembwa 996.....ulikua umezaliwa mdogo wangu??
 
Kabla hamjaanza kozi mnaitwa wazalendo. Kipindi cha uzalendo tulifundishwa sana chenja.

Moja ya chenja ilikuwa inaimbwa "yaule wema, ae yaulee wema. Mama wee mama wee utamu wa jeshi nauona eeh"

Baada ya kumaliza kozi, tukiwa safarini tunarudi makwetu, kwenye basi mmoja wetu akaianzisha hiyo chenja. Dah! Kuna feelings Fulani zinakuja hadi unahisi machozi. Unakuwa unakumbuka lifestyle yote ya jeshini, jinsi ulivyoungia na ulivyotoka.

Moja ya kitu nikichokipenda JKT, ni ile mnakutana watu karibu pande zote za Tanzania. Baadhi mnajikuta mnaelewana, mnakuwa mnaroll pamoja mda mwingi. Washkaji wengine mnakuja kukutana chuo, wengine haujui wako wapi, ukikumbuka ule ukaribu mliokuwa nao inahuzunisha sana.

Moja ya kitu nakikumbuka sana maisha ya jeshi ni upendo, Bakabaka sometimes anakuja na karanga (za.pakti), anawapa Kila mtu karanga mojamoja hadi zinaisha, wanatuambia jeshini upendo. Kwahiyo hata sisi makuruti kwamfano umefanikiwa 'kubasti' (kuongeza msosi) unawaita washkaji mnakula wote.

NB: kama Intro ingekuwa inafanyika Kila siku, kambi nzima tungetoloka
 
Jeshi Lina side effects zake kimtindo.

Nakumbuka nimerudi nyumbani, nimetumwa sokoni, nakutana na mlinzi ananifokea eti hauruhusiwi kuingia muda umeisha. Na Mimi nikaanza kujibishana naye, Yani nimedhamiria kabisa nimzingue yule mzee. Bahati yake alikuwa anaongelea mbali.

Wakati naondoka ndo akili ya ubinadamu inarudi, "Yani Mimi nataka nimpige yule mzee"

Tukio jingine wakati wa mabio. Tulivyofika mwisho wa route Kuna shamba la miwa. Kuruti mwenzetu akatoa buku kama sikosei anunue mua.

Sasa yule mzee wa miwa chenji hana. Basi ile makuruti kusikia chenji Hana, tulimvamia tukachukua miwa yote aliyokuwa anauza. Bakabaka wenyewe wametulia pembeni wanacheka tu
 
Op miaka 50 ya jkt hatari sAna hiyo nilikua Songea mlale its almost 10 years now time flies Mwaka jana walikua na op miaka 60 ya jkt
 
Duu [emoji32][emoji32]
 
Chizi Maarifa ! Episode ya 6 iwapi , wewe si ndiye mlinzi wake
 
Ole wako service man umkatae utapata adhabu kama zote.
Mzazi usiogope mtoto kwenda kwa mujibu, faida ni nyingi kuliko hasara
1) Wewe service man alikujaribu kama ndio ilikuwaje?.
2) Namesake ulimtafuta tena kwenye maisha yako au bado mpaka sasa?.
3) Uliwacha jeshi?. Vipi na Anna yupo jeshi au nae karara mbele?.
4) Umetaja vitengo vi5 tu hivi jeshini hakuna kitengo cha spy,Medical na mechanic?.
5) Vyakula huja kwa msimu jeshi lina mfumo wa vyakula vya makopo?. Hivi hata siku ya vita vinaweza saidia jeshini kuwa na supply chain kwa wanajeshi kirahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…