Niliyoyashuhudia Jeshini


Hata mikoani huko bado kuna hali hizi,vyeo hivi vingi viko mjini hapa,kama wabunge kukimbia majimbo yao na kuishi dsm.

Nimekulia kota kumuona mkuu wa kikosi ilikuwa kwa siku maalum,halafu ni Lt colonel tu.
 
Mama mtu mzima kana wewe KENGE 01 unasomaje uzi unashindwa kuelewa kuwa mtoa mada ni KE? Usiwe unatumia hasira sana zinazidi kukuzeesha.
 
Anakwenda Sargent, Koplo Platun kamanda vitan hiyo mama😄😄me siendi cheo changu hakipo hapo😅😅
"Anavaa....Anavaa kombatiiiii
Butiiiii.......kofia ya chuma vitaniiii
Iyooo mamaa

"Anabeba......anabeba bundukii
Beginning....kibuyuu cha majii
Vitaniiii....iyoo mama"

Kokorikooo kokorikoo kajogoro kalia
Koko eeh aiya iyaa kokoo eeh aiya iyq

"Tutawakumbukaaa makamanda wotee
Waliokufa kwenye mapambanooo
 
Jeshi kwa chenja wapo vizuri!
 
Hahahah! Wewe kweli mtoto wa mama. Eti nampigia mama anifuate! Hivi wewe ni ke au? Na ulitaka huyo anna ambaye bila shaka ni ke akusaidie?

Personally, I enjoy the pain.
Mimi ni Ke, sikumuomba anisaidie alitaka mwenyewe
Ananipenda ndo maana akawa tayari kuchukua tranka langu anisaidie.

Sifurahii maumivu ila yakija naishi nayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…