Niliyoyashuhudia Jeshini

Kuna mwamba alikuwa anajua kupangilia chenja mfano kama hapo hizo za vitani zinafululiza kama tano hivi.. hao angeongeza hii

If i die dont bury me here sendy body back to my family.....
 
Hata mikoani huko bado kuna hali hizi,vyeo hivi vingi viko mjini hapa,kama wabunge kukimbia majimbo yao na kuishi dsm.

Nimekulia kota kumuona mkuu wa kikosi ilikuwa kwa siku maalum,halafu ni Lt colonel tu.
I know mkuu ...it depends the same nimekulia humo ila tulikuwa nyumba za maofisa ki home home asubuhi kupishana na gari ya col kawaida zile nyumba major gen Alikuwa Moja , brigedia 3 the rest col ,lt .col ....mtu wa chini sana Capt tena Wachache Kwa mkoani uko sahihi kabisa
 
Siri za Kambi .....
 
basi mwenyewe unajiona unaakili kushinda serikali inayopeleka watu jeshini![emoji3]
 
At first sikujua. Nilijua baadae kadri alivyokuwa anaendelea na simulizi yake. Alikuwa na haki ya kulia, naona kuna Papaa Tango Eagle akaanza kujisogeza kwake taratibu na kumrahisishia baadhi ya fatiki ephen_ 🤣🤣
Leo ndo nimeielewa hii comment yako..
Inshort Acha dhambi😄
 
Yes dar tunasema kubimbilika!
Kombania ni kama stream tuseme stream A, B au C
Subiri nikuitie fyddell atusaidie maana sahihi
Kubingirika ndio neno sahihi.
Kombania ni kikundi kinachoundwa na platuni kuanzia tatu mpaka saba ikitegemea na idadi ya askari na muundo wa kijeshi wa nchi na nchi. Kwetu sisi kombania inaundwa na platuni tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…