Niliyoyashuhudia Jeshini

Miaka hiyo walikuwa wachache sababu population ilikuwa ndogo na Kambi zilikuwa chache na hakukuwa na succession plan

Brigadier kumwandaa ni muda mrefu Sasa unajua Kanisa baada ya miaka sita Kuna mabrigadier sita wanastaafu huwezi subiri Hadi wastaafu unaandaa wengine mapema akiondoka Kwa kustaafu wanashika nafasi bila kuanza mafunzo ya ugenerali

Pili Tanzania Kwa Sasa inashiriki operation nyingi za kimataifa wanatakiwa ma generali wa kuingoza hizo operation bila kuathiri upungufu wa magenerali ndani ya Jeshi kuwa wakiondoka kuingoza operation kutakuwa na upungufu
 

Unafikiri ulifundishwa uzalendo jeshini, kuijali nchi yako?

Kwanini hawana sera za kufundisha kilimo cha kisasa, umwagiliaji, kutumia trekta, mbolea, mbegu bora au wanavyo?

Inatakiwa kijana akitoka pale awe mzalendo, mchapakazi, anaweza kujitegemea na kuwa na ujuzi.
 
Nilikulia jeshini(kota) kama mtoto wa mjesh binafsi sipendi kuwa mjesh, nilikataa miaka ya 90. Enzi zile hata la 7 unaenda ki urahisi. Ila nawapend sana wanajeshi....yaan wakipiga kwata parade hunitumi dukani. Baba alikuwa mstar wa mbele kwa hiyo nilikuwa kwenye sherehe nakaa mbele kabisa hata kofia ikianguka naiokota namvalisha, I like soldiers. So so much.

Japo baba alipend niende na wkt huo nikiwa la 7 kwenda form 1 .. nikaenda ilboru mzee akajaa kimya hadi leo hanikumbushii
 
JEshi ni kipaji sio kila mtu anaweza
Kwanza kukaa kambini ndo kitu kinanifanya nisivutiwe na jeshi
Japo napenda MP sanasana wa kike wakiwa kwenye uniform zao jinsi wanavyowaka.
 
JEshi ni kipaji sio kila mtu anaweza
Kwanza kukaa kambini ndo kitu kinanifanya nisivutiwe na jeshi
Japo napenda MP sanasana wa kike wakiwa kwenye uniform zao jinsi wanavyowaka.
Kwani nilazima kukaa kambini Ndugu Mwandishi!?? Mbona wengi tuko nao huku Buhongwa na Draft pamoja na Shimhaa tunapimiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…