Niliyoyashuhudia Jeshini

Kwani nilazima kukaa kambini Ndugu Mwandishi!?? Mbona wengi tuko nao huku Buhongwa na Draft pamoja na Shimhaa tunapimiana
Sio lazima mkuu
Ila mimi kua mwanajeshi siwezi yale mazoezi kwangu hapana!
 
Binafsi sijui ila naona JKT hasa hawa Mujibu naona ni upotevu tu wa muda kwa kupima Faida zaidi naona hakuna cha maana ni kupoteza pesa kwa kuwahudumia!!!


May be wale wa kujitolea naona at least!!
 
Binafsi sijui ila naona JKT hasa hawa Mujibu naona ni upotevu tu wa muda kwa kupima Faida zaidi naona hakuna cha maana ni kupoteza pesa kwa kuwahudumia!!!


May be wale wa kujitolea naona at least!!
Mkuu fikiria vizuri kama ulichosema ni sahihi.
 
Daaa Poleee sanaa kwa siku hii ambayo pia uliwaponza wenzako ephen
 
Mkuu fikiria vizuri kama ulichosema ni sahihi.
Najitahidi mkuu ila nashindwa kuoanisha kabisa hizo faida!!

Uzalendo kama Faida na lengo namba moja Graduates wengi ndio majizi haswaa huku kazini!! Viongozi wetu wengi ambao wao walikaa JKT mwaka mmoja hawa ndio kabisa kila siku tunasikiliza report zao kwa CAG!!

Yaan ukiangalia Inputs ni kubwa ila Outputs ndogo

May be jaribu basi kunishawishi nikuamiamini jaribu mkuu!!
 
Ufisadi ni utamaduni
Wazalendo wapo, ila wengine wanaanza kazi wakiwa wazalendo ila mwisho wa siku wanasema wenzangu wanaiba mimi nasubiri nini?
Faida zipo nyingi soma post namba 815

Una hoja usikilizwe!
 
Mkuu fikiria vizuri kama ulichosema ni sahihi.
Hajaelewa. Nadhan jkt ni kitu ambacho hatujakitumia ipasavyo, nataman nchi nzima wangehusika kwenda jkt, jkt inazalisha, watz sote tungehusika kuzalisha, nashangaa sana vijana kukaa mtaani vijiweni kuna vijana wana vipaji wamekaa navy, kumbuka usemi punda haendi bila bakora, ndio maana hamkuwapenda waliokuwa wanajitolea, kwa sabab wangesaidia sana nchi hii kwenda mbele.


Vijana eti wanajiajiri kwenye bodaboda, nitamshukuru rais ambaye atapata upeo wa kuwapeleka vijana jkt wakazalishe badala ya kuwafanya kuwa bodaboda, huu usafiri (boda boda)unatakiwa uangaliwe upya ufutwe uwekwe mfumo mzur wa bodaboda, kwanza nadhan zipande bei, boda ikiuzwa 10 min hutaona vijana wakiingia huko. Pili wawe na lesseni na ilatikane kwa gharama kubwa, pkli wawe closely observed.

Kundi kubwa lenders jeshini wakazalishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…