Niliyoyashuhudia Jeshini

🀣🀣🀣🀣🀣🀣Umechekesha sana kuanzia hapo ulivyoshuka kwenye gari
 
Yah uko sahihi nakumbuka kuna mwanangu week moja kabla ya kumaliza alifatwa na VX. Walikompeleka hatukujua nikaja kumuona baada ya takribani miaka 6 mbeleni akiwa front kwenye msafara wa magu.

Kwa jinsi tulivyoingia nae mpka anaondoka kambini na jinsi alivyokuwa anapiga kaz na mazoez na shabaha aliyonayo mpka maafande wakawa wanahis huyu atakuwa usalama kaja kuchunguza huku.

Mwez mmoja kabla ya kumaliza mafunzo kuna wanafunzi wakaongezwa kama watatu tukawa nao jambo la ajabu, ila jamaa alipoondoka tu na wenyewe wakapotea kwenye mazngira ambayo mpaka leo hatukuyaelewa jambo ambalo baadae sana baaada ya kuunga dot's nikaelewa

Asikwambie mtu jeshini ni raha sana
 
Kwani huyu ni ME mkuu!
 
Kusoma mazingira ni jambo la kwanza kufanyika mkuu, within few days wale watundu tulishajua mpaka vilabu vya pombe na njia za magendo. Kifupi nilikuwa doja with benefits πŸ˜‚ najua chimbo na chocho nyingi ndani ya muda mfupi.
 
Pole mwaya....
 
Unawaza mama tuπŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…