Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Mleta Uzi ni ke jamani,mbona anamwambia kabisa rafiki yake ni Anna?msichoelewa hapo Nini?Yani natamani kuingia kwenye Uzi nilipige mbata..Matoto ya Mama kila kitu linalia tu kama mwanamke[emoji706]..Watoto wa Mama ndio hawa wakikutana na Mitiani ya maisha kidogo tu wanajinyonga,Au kutoa ndogo...Sasa apo poti angesema amuombe TIGO dogo ili apunguziw mazoezi unafkiri huyu Mtoto wa Mama asingetoa??
Watoto wa Mama inabidi mjue Dunia ni katili sana hii lazima uwe MGUMU sio Kuonesha huruma na kulia ovyo Haisaidii.Kuna siku utaishi bila mama ndo utajua dunia ni Katili