Niliyoyashuhudia Jeshini

Niliyoyashuhudia Jeshini

Haha napokea..

Huyo Afande sijui kama ntakuja kumsahau [emoji1787][emoji1787]
Aliniotea otea mara kadhaa akanisulubu.
Hakuaga na noma sana kwa wanaume, ila mabinti alikua hapatani nao kabisa.

Kuna service-men niliwahi kuzinguana nao pale, alafu mwaka mmoja baadae nikakutana na mmoja wao kambini JKT. Mimi kuruti, yeye bakabaka, niliishi kama kibaka!
 
Ukirudi salama ni experience nzuri.
Mteru mteru kama raia unakuwa unakupungua
Hilo neno mteru nimekumbuka mbali kuna wadau walikuwa ni vipande vya mwanakwetu ila sasa mteru kama wote,wakishikiliwa kidogo tu utawahurumia..
Kutolewa uraia lazima mtu uive..
TPDF ukidoji ukatoboa wewe mwamba ila majeshi mengine ni kosa kubwa..
Kuruti hafi,kuruti mdudu!!!
 
Form six gani Hiace anaita Hiance? Halafu wewe huu uandishi wako ushaharibiwa. Hakuna kitu umebaki nacho. Ndo maana mzee wako alitaka uende jeshini ukakaze misuli ya matako. Umeshalegea sana. Mwanaume hawezi omba saidiwa na mwanamke na hawezi lia eti anamwita mama yake. Wewe ni takataka. Ondoka hapa na uzi wako.
Mzee mwanamke huyu sio mwanaume 😅😅
 
Hakuaga na noma sana kwa wanaume, ila mabinti alikua hapatani nao kabisa.

Kuna service-men niliwahi kuzinguana nao pale, alafu mwaka mmoja baadae nikakutana na mmoja wao kambini JKT. Mimi kuruti, yeye bakabaka, niliishi kama kibaka!
Yule baba alikuwa mtata😂 kwanza kuna siku alinambia kanawe uso urudi unatiririka maji.


Haha si alikuwa anakuoshea sana? Ama hakukuona? Ila wa karanga uwa wapole flani, nilikuwa nawaona mle ndani.
 
HII imenikumbusha siku niliyoripoti JKT mimi nilinyoa kipara Sasa wakati nafika kwenye gari la kuelekea kambini nilikutana na wadada wawili wao walikuwa hawajanyoa, Ile tunafika nikaulizwa Hawa unawafahamu nikajibu ndiyo, wakaniambia kwahiyo wewe umewadanganya wasinyoe alafu ukanyoa peke yako, aisee palepale getini nilianza kuroll na kurukishwa vichura, nikamwagiwa maji, Kisha nikaambiwa niwapake poda usoni yaani vumbi, alafu niwanyoe yaani palepale hamu yote ya JESHI iliisha
 
Back
Top Bottom