Hae Mo-Su
JF-Expert Member
- Oct 14, 2017
- 474
- 1,009
aaaaargh nitakuja nikunyonye hizo akili we mtotoHaha
Naona unawakana SOFE leo… safiiii lakini, ethics za kazi zizingatiwe 😉
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aaaaargh nitakuja nikunyonye hizo akili we mtotoHaha
Naona unawakana SOFE leo… safiiii lakini, ethics za kazi zizingatiwe 😉
😂😂 wewe ni member wa jf tu, naelewa.Utaniuza wewe wakati mimi ni mwanaJF tu. Upitie kwangu ukienda Ngorongoro
Doso moja la kunyonya mafuta, mbona nitatubu 😆😆aaaaargh nitakuja nikunyonye hizo akili we mtoto
tukumbukane sasa, tukasafishe akili😂😂 wewe ni member wa jf tu, naelewa.
Ngorongoro nitarudipo kiangazi, sina clear view ya crater nilienda mvua zikiwa zinapiga.
Mi sikuelewi na mambo yenu. Unanikkimbiza ujueDoso moja la kunyonya mafuta, mbona nitatubu 😆😆
Kwani upo shule? Haha nasikia shule ya hapo mnasoma huku mnalindwa. Kuchakaa akili sio sana bana.tukumbukane sasa, tukasafishe akili
Nimenyamaza 🤣🤣Mi sikuelewi na mambo yenu. Unanikkimbiza ujue
Nikuje Kwa PM ?Nimenyamaza 🤣🤣
Mimi ni mwalimu sio mwanafunzi, ila wanafunzi lazima walindwe na kufatiliwa wanachokisomaKwani upo shule? Haha nasikia shule ya hapo mnasoma huku mnalindwa. Kuchakaa akili sio sana bana.
Nitakuja mtoni hapo kuogelea, nitakubeba.
Haha karibu..Nikuje Kwa PM ?
Safiii sana mwalimu wa wategua mabomu 🥱🏃🏃Mimi ni mwalimu sio mwanafunzi, ila wanafunzi lazima walindwe na kufatiliwa wanachokisoma
me are gooo goooSafiii sana mwalimu wa wategua mabomu 🥱🏃🏃
😂😂 nimeenda pia.me are gooo gooo
kuna kayange kuna kitereja kuna rama (hansome wa danger coy) walifanya maisha yangu ya jeshi kuwa matamu saaanaMbugi huyo na wale maservice ndio waliokuwa wakiwafanyisha yale mazoezi ingawa ilikuwa sahihi kwaajili ya kuwaweka vizuri kabla ya intro. Unamkumbuka Umede na ngoma yake ya kupandisha mashetani "Kinje kinjenjele aeee njenjelee", je Kayange?
ngoja ninywe maji moyo uelee dawili mieHaha itakuwa tunafamiana wewe😊 Njoo pm
Kuna wale Usalama wa taifa.. wanajina lao nimelisahau..Ahaa kama ni hivi sawa kabsaa 😁😁
Kuna vitu kasifia sana kama ni sehemu ipo perfect flani ila kwa experience yangu nasimamia palepale. Mtoto wa kike mzuri sana na ana moyo mwepesi simpeleki
Wa kiume, hadi stendi namsindikiza, akakomae 😁😁
Usalama wa taifa au Military Police(MP)?Kuna wale Usalama wa taifa.. wanajina lao nimelisahau..
Bakabaka walikuwa wanawaogopa hao maana ikigundulika kuwa mwanajeshi katembea na mujibu taarifa ikiwafikia nadhani walikuwa wanaadhibiwa kijeshi...
Mp ni watu wengine wanahusika na nidhamu na pia kuna usalama wa taifa wanakuwepo... Wao hawawajibiki kwa kamanda kikosiUsalama wa taifa au Military Police(MP)?