Niliyoyashuhudia Jeshini

Niliyoyashuhudia Jeshini

Endelea kupenda men in uniform
Mambo ndo hayo Fake P
Jeshi nililipenda aseee

Kula chuma kwanza ya kamanda kikosi luten kanali 😅
12-Tanzania_Army-LTC.svg.png
 
Jeshi nililipenda aseee

Kula chuma kwanza ya kamanda luten kanali 😅kikosiView attachment 2871919
Ngoma ukute imepachikwa visoda 😂😂 weee ni wanawakaaaa hatari. Waachwe waringe aisee.

Kuna ndugu yangu mmoja alikimbia kozi ya cadet, mambo yalimuelemea aka sign out mwenyewe.

Rudi basi? Kama ulilipenda. Mm haliko damuni hata kidogo.
 
Ngoma ukute imepachikwa visoda 😂😂 weee ni wanawakaaaa hatari. Waachwe waringe aisee.

Kuna ndugu yangu mmoja alikimbia kozi ya cadet, mambo yalimuelemea aka sign out mwenyewe.

Rudi basi? Kama ulilipenda. Mm haliko damuni hata kidogo.
Too late Mkuu wacha niendelee kuangalia series za kijeshi tuu😅👐
 
SEHEMU YA 7
Nashangaa muda unaenda mbona haturuhusiwi kwenda kulala?
Yule bakabaka akastopisha kwata akasema hivi sasa ni saa 2 usiku muda bado kabisaa! 😂
Kuruta tunaulizana muda bado kivipi akati tumetumia muda mwingi kombania.
kuruta wakisinzia wanapewa kazi ya kushindana kukimbia
Mimi sikua nasinzia nilikua najipa moyo muda simrefu tunaenda kulala ila wapiiiii.... kila muda bakabaka anasema ndo kwanza saa 2 kamili usiku.

Tunaimba chenja, mazoezi ya viungo kwenye mazoezi nilikua napenda viroba (squats) hata 100 nashuka tu nasihisi kuchoka. then bakabaka anasema hapohapo ulipo jilaze ulale! Basi watu fasta tunajilaza kwenye vumbi
Dakika 5 nyingi anasema inuka rukaruka kichura😄
Kuruta tulipata hasira hadi wengine wakaanza kusonya.

Hapa nilishangaa kitu! Kuruta anamsonya bakabaka halafu hafanywi kitu zaidi tu anasmile halafu anasema "kuruta fungua moyo huo"
Ila walikua wanaudhi fikiria mtu anakuambia lala ghafla ruka kichura anarudia mara nyingi zile hasira plus usingizi watoto wengine hawana adabu wanamsonya na yeye anablush tu.

Hamuwezi amini alfajiri ilifika tukishuhudia kwa macho! Sasa tunaulizana "mbona leo hatujaenda kulala?" Tutafanya nini ndo ishapita hiyoo😄

Tukapanga foleni mabio yakaanza, kama nilivyosema muda wa mabio niliupenda sana zile chenja ndo ugonjwa wangu nikawa nakimbia bila kutegea nafurahia kukimbia.

Tumerudi jogging uelekeo shambani, tukitoka shambani chai kuipata hadi ukimbie 2km, tukitoka chai uelekeo kwata
Sikupenda kwata nilikua nanga nimekula mabao mengi tu mpaka bakabaka akanichoka! Akaniambia labda utaweza vitu vingine kama ngoma coy, karate au kazi mchanganyiko.

Ratiba iliendelea mpaka wiki ikakata hatukurudi angani hatukulala wiki nzima!

Baada ya wiki sasa bila kulala! vituko vilianza mtu anachuma machungwa huku kafumba macho anaota kabisa😄
Mimi ile mabio nikawa nakimbia huku nasinzia, chenja naitikia miguu inaenda mbele lakini nimelala ila naota nakimbia.
Unaweza usiamini lakini hali ndio hiyo.

Bakabaka wakawa wanasema hawa itabidi leo wakalale wasije kutufia bure hapa!
Kitengo cha kuvuna machungwa tulikua tunapiga story sana na bakabaka.
Wiki ilipita bila kuoga.


Usiku ukafika mimi najua kabisa leo tunaenda kulala, nikawa na furaha , sasa muda unaenda ila haturuhusiwi, njaa ikawa inaniuma nikasema subiri nitoroke niende kunywa chai jikoni halafu nirudi fasta kombania nilihisi tulidanganywa leo tena tunakesha.

Lahaula nilijuta kwanini nilitoroka........

Itaendelea.

Muendelezo soma Niliyoyashuhudia Jeshini
Nataka kucheka ila nashindwa. Nakumbuka nilipoga around wiki tatu bila kulala. Kanembwa 2013 July na August. Sipasahau kamwe. Mwanzoni niligoma kufungua moyo ila ilifika sehemu sina namna niliufungua tu. Pamoja na yote kuna siku nilibreak down. Yani unafika siku unaichoma dunia kabisa maana umechoka halafu afande anakukejeli aisee. That nigh i sat there and looked at heaven asking God kwani kwetu hakuna vitanda. I think a 4 to 5 weeks had passed without proper slip. Hasira, uchovu na baridi. Halafu mtu anakwambia kwenu hakuna kitanda ndo maana mmeletwa huku. In the middle of the night, all had been exhausting. I finally got tired but nilimaliza. Am glad i went, i learned a lot of things. But it was hell.
 
Kule ni nusu kuzimu😄
Acha tu. Mimi mtoto wa kiume nitampeleka lakini wa kike hapana. Wengi hawawezi kuvumilia huwa wanavuliwa chupi mno. Huwa nakumbuka nacheka how i survived those weeks without sleep. Many think they use weed but sleepless nights are enough weed for any human brain. Thou, i miss those people. I met 2,000 strong new people. I wish tungekua na nafasi ya kutembelea tena nikapaone Kanembwa. Ule uwanja wa damu, messini, shambani, bustani za mboga na american village. Have got a lot of sweet memories and damn bitter-one.
 
Acha tu. Mimi mtoto wa kiume nitampeleka lakini wa kike hapana. Wengi hawawezi kuvumilia huwa wanavuliwa chupi mno. Huwa nakumbuka nacheka how i survived those weeks without sleep. Many think they use weed but sleepless nights are enough weed for any human brain. Thou, i miss those people. I met 2,000 strong new people. I wish tungekua na nafasi ya kutembelea tena nikapaone Kanembwa. Ule uwanja wa damu, messini, shambani, bustani za mboga na american village. Have got a lot of sweet memories and damn bitter-one.
Kumbe kila kambi ina uwanja wa damu!
Nikadhani ni kambi yetu tu
 
Back
Top Bottom