Niliyoyashuhudia Jeshini

Niliyoyashuhudia Jeshini

Yes! Tumejifunza mengi ambayo ni vigumu mtaani kutufundisha.

Pamoja na yote jeshi siwezi kurudi tena Abadani Hasirani😂
Hahaha! Hutaki kurudi na story zingine hapa ? Kwa uandishi huu naelewa lazima uko sehemu fulani yenye maokoto mazuri hivyo uende huko kutafuta nini tena ?

Ulipata kuwasiliana na namsake wako baada ya kumaliza course ?
 
Niliwasiliana nae nilivyotoka course
 
Ukweli lazima usemwe
Mtu kapita ruvu tena miezi mitatu lakini anambishia senior kabisa wa jeshi

Bora na wewe ulipita malamba kwa wagumu kidogo
Humu watu hatujuani lakini ni vyema kunusa harufu unajadiliana na nani

Wenye taarifa sahihi huwa hawapendi majibizano yasio na maana tena akijua ninayejadiliana nae ni Mbishi na hakuna anachokijua.
 
Ndio umwambie huyo mtoto princess nani sijui aache ubishi wa kishamba

Aendelee kudnanganya kwenye vijiwe vya bodaboda sio hapa
 
SAMAHANI WADAU MBONA NAONA KAMA WENGI HUMU NI KAMA MMEZALIWA KUANZIA 1993???
SISI TULIOZALIWA 1970,S TUNA STORY ZETU TOFAUTI KABISA KUHUSU JESHI

Nakumbuka enzi hizo Kuna mjeda mmoja alipochukua list ya kuita majina ya makruta alianza na sehemu ya juu iliyoandikwa FULL NAME,

Basi akasoma FURU NAMEE.... (kimya), FURU NAMEE.....(kimya).........
 
Ikawaje sasa😄
 
Back
Top Bottom