Niliyoyashuhudia Jeshini

Niliyoyashuhudia Jeshini

Bahati nzuri ulioga maji ya bomba. Kuna wengine, maeneo yao, walikuwa wakioga ziwani. *****, mwanzoni hata huo mda wa kuoga hampewi, na usipooga kesi. Basi tu. Lakini ukizoea,ni raha sana.
 
Bahati nzuri ulioga maji ya bomba. Kuna wengine, maeneo yao, walikuwa wakioga ziwani. *****, mwanzoni hata huo mda wa kuoga hampewi, na usipooga kesi. Basi tu. Lakini ukizoea,ni raha sana.
Ukizoea ni raha unatamani hata course isiishe
 
99% alichoandika mleta mada ni kweli

nilipita Mtabila Jkt 825 kj kama kundi fulani maalumu lilipelekwa huku kupika kozi hio miezi 4 hivi

aisee siku za mwanzo sawa sawa kama mleta mda alivyosema bila kufungua moyo hutoweza

na kwa misosi aise jeshini wanakula vizuri sana kuliko hata baaadhi watu huko majumbani.

sema mimi nilikuwa naharisha daily sijawahi pata choo kigumu kwa miezi 4 sababu kwanza mikono ilikuwa michafu muda wote kutokana na kazi na kukaa chini yaani ilikuwa mekunda haitakati hata unawe vipi na sabuni.

pili, maji ya bomba ndio ya kunywa nimeumwa sana tumbo, amiba, na muda wa kujiuguza haukwepo.

unaenda kwenye mishe zao unajua kabisa hapa naumwa
 
Back
Top Bottom