Niliyoyashuhudia Jeshini

Niliyoyashuhudia Jeshini

Ile si rasha rasha tu??
Hizo stance zenyewe hukai wiki nne ukazifahamu.
Stance moja tu waweza kaa wiki 6 kabla hujafundishwa mapigo ya beginner.
Ungeomba ubaki tu uwe JWTZ.
Sikupenda maisha ya wanajeshi, hawana furaha wale watu
 
Yeah,halafu kuoneana kumekua kwa kupitiliza,kiasi wamekua na inferiority complex.
Yani imekua kama vile kazi ya kuoneana na kupeana amri kwa shuruti,sio ya kuongozana na kujengana kufanya kazi bila shuruti.
 
Sikupenda wanavyokaa kambini
 
Back
Top Bottom