Supu ya Kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 5,283
- 9,609
Niko forodhani hapa nipe location..hahah upo maeneo gani chief mi pia nipo hapa sirari mpakani kabsa
G.valley
Karantini au king elephant
Niko forodhani hapa nipe location..hahah upo maeneo gani chief mi pia nipo hapa sirari mpakani kabsa
mi nipo pale vodashop pale maduka nane pasiansiNiko forodhani hapa nipe location..
G.valley
Karantini au king elephant
Poami nipo pale vodashop pale maduka nane pasiansi
mtaa wa mali ngumu
mtaa wa mali ngumu ndyo makaziNiko forodhani hapa nipe location..
G.valley
Karantini au king elephant
Leo nlikuwa hapo malingumu malori mengi Sana ya mahindimtaa wa mali ngumu ndyo makazi
hahah njoo inbox mkuuLeo nlikuwa hapo malingumu malori mengi Sana ya mahindi
Hahaha 😁 ila bichwa!
Hatari,nasikia huko bangi ni mbogakuna tukio moja nalikumbuka kuhusu wakurya lilitokea miaka ya 2000+ japo.nilikuwa si mkubwa sana ila nakumbuka.kuna nyumba walikuwa wanakaa wakurya wawili mtu na ndugu yake.sasa siku moja waligombana.basi walifunga milango kwa ndani na kuanza kupigana na kukatana mapanga kavu kavu.mpaka wakafa.mpaka leo uwa najiuliza wale jamaa waliwaza nini.
MNA NINI VICHWANI?malaya wa lodge gani hawa?
Wamongolia tunakuja kumkomboa Bichwa arudi Umongolian Kuvuta bange ngoja niliite Ghayo TheMongo Barbarian na kuubla kikosi Maghayo The Mongolian Savage tupange mpango wa kumteka Bichwa maana naona Manyambulet mnammendea.Hahaha 😁 ila bichwa!
Yah babe, ww mtamu knoma tangu ile siku sijaoga mpaka leo ❤️
Nimemmis Ghayo alikuwa ananipa vitu vizito sana huku amenikaba shingo....Wamongolia tunakuja kumkomboa Bichwa arudi Umongolian Kuvuta bange ngoja niliite Ghayo TheMongo Barbarian na kuubla kikosi Maghayo The Mongolian Savage tupange mpango wa kumteka Bichwa maana naona Manyambulet mnammendea.
Babe nakupenda sanaYah babe, ww mtamu knoma tangu ile siku sijaoga mpaka leo ❤️
Shemejii mamboHahaha 😁 ila bichwa!
Mnataka nijinyonge sasa.Wamongolia tunakuja kumkomboa Bichwa arudi Umongolian Kuvuta bange ngoja niliite Ghayo TheMongo Barbarian na kuubla kikosi Maghayo The Mongolian Savage tupange mpango wa kumteka Bichwa maana naona Manyambulet mnammendea.