Anna Maria Buberwa
Member
- Oct 3, 2017
- 65
- 121
dada zetu vichwa sifuri.kanga moko yule zari ni sawa na nyie kumi.hela hamna,sura shida halafu ni malayaInasemekana daimond alivyokwenda south akamchukua Nillan na kwenda kupima nae Dna kimya kimya majibu yakatoka 99%sio wake,,
Wabongo tulikataa kua mbona huyu mtoto anamfanana marehemu ivan,,
Team zari jiandaen kuja madale kwa kukimbiaa [emoji23][emoji23]
Zari kabadili profile name kwenye page za watoto na ndip ugomvi mkubwa kisa hilii, ,,we daimond nae kwenda kuzaa na bibi ukomegee
Ubuyu kamili nendeni kwa Mange
Halaf wema kajirudisha Madale ana wiki analala hapo,,duuu huko madale kutakua kutamu sana aisee
Kwa hapa Dar uyu unawezakuta ni mtoto wa kiume kabisa.. acha mkuuNINGESHANGAA UNGEKUA MVULANA.
Unaweza kukuta mke wako ndio amemuhadithia huyu aliyeletaUkute mke wa mtu uyooo..............na mwanaume nae anasimama kifua mbele eti ana mke nyumbani duuh
HahaaaaaaaEti inasemekana😱.. shusha nondo kama huna nenda SA zifate ulete.. zaidi ni udaku.com
Umeona eeeeeeeMhh mtasutwaaa
Wabongo bwana wakishamuamini mtu basi hata aseme nini wanaamini.Kisa mange kasema.
Haya yule wa hamisa mnayesema ni wa dai mbona matunzo hapewi mpaka kuburuzwa mahakamani?
Halafu watu mnadhani kupima DNA ni sawa na kupima malaria aiseee
Dini gani???Wengi wanamchukia nillan kwa sababu ni mtoto wa kiume(tena wa zari) mwenye haki ya kurithi mali za baba yake kwa sheria za dini ya dai. Tiffa hawamtaji wala kumtukana kama zaman alipokua mchanga
Ukute mke wa mtu uyooo..............na mwanaume nae anasimama kifua mbele eti ana mke nyumbani duuh
Wewe na unayeamini ni baba yako mmepima DNA?Inasemekana daimond alivyokwenda south akamchukua Nillan na kwenda kupima nae Dna kimya kimya majibu yakatoka 99%sio wake,,
Wabongo tulikataa kua mbona huyu mtoto anamfanana marehemu ivan,,
Team zari jiandaen kuja madale kwa kukimbiaa [emoji23][emoji23]
Zari kabadili profile name kwenye page za watoto na ndip ugomvi mkubwa kisa hilii, ,,we daimond nae kwenda kuzaa na bibi ukomegee
Ubuyu kamili nendeni kwa Mange
Halaf wema kajirudisha Madale ana wiki analala hapo,,duuu huko madale kutakua kutamu sana aisee
Dai tajiri kuliko Kiba.Kisa mange kasema.
Haya yule wa hamisa mnayesema ni wa dai mbona matunzo hapewi mpaka kuburuzwa mahakamani?
Halafu watu mnadhani kupima DNA ni sawa na kupima malaria aiseee
Samahan naomba nikurekebishe, Tukirudi Kwenye dini ya kiislam Nillan na Tiffa wote ni watoto haramu wamezaliwa nje ya ndoa hata kama Zari angeolewa bado ni watoto haramu kwa dai mtoto haramu Hana urithi kwa baba yake na baba Hana urithi kwa mtoto wake. Kidini hawaruhusiwi kurithi hata kijiko.Wengi wanamchukia nillan kwa sababu ni mtoto wa kiume(tena wa zari) mwenye haki ya kurithi mali za baba yake kwa sheria za dini ya dai. Tiffa hawamtaji wala kumtukana kama zaman alipokua mchanga
Wema naona kakataaNimefurahi sasa hamisa pambana na wema
Zari pole unaondoka bongo kwa aibu kiasi hicho