Numbisa jus wait please !!sio kwa kua Mange kasema ila mi nakuambia la kuvunda halina ubani!
dada zetu vichwa sifuri.kanga moko yule zari ni sawa na nyie kumi.hela hamna,sura shida halafu ni malaya
Nimefurahi sasa hamisa pambana na wema
Zari pole unaondoka bongo kwa aibu kiasi hicho
Hahahahaaaaa mange ni mnaa jamani sijapata kuona.......eti huyo bebe vepe ala tek away tuu??
Sio huyu anakuwaga kimbele front kumtetea wema ama?????
Na txt za imbobo kazweka hadharani
Ama kweli don't trust any1
Muogope mungu ww watoto ni matokeo tu wazazi ndiyo wasababishi period,!!Ndiyo mana vichoko vingi sana dar havina mambo ya kufanya mtoto wakiume unafatiliaje mambo kuhusu mtoto wake au sio wake
KabisaAm telling u hii ishu ya wema na dai ina 80% za ukweli ila wema anawaza anaanzaje sasa kuexpose mapenzi yao km umeangalia nowadays wema hana kick tena hapa mjini so she is struggling to top up her name back!!
Wema hajielewi hata robo na anampenda mnooo dai na dai atafanya kumkomoa hamissa na zari ila diamond doesn't luv wema at allKabisa
Lisemwalo lipo wabongo hawaanzishagi uongo,
Wema hashindwi kurudiana na Dai
Mi nawaambia hawa kweli wako pamoja wema hajielewi ht nusuSinaga imani NAYE aliyesema ana nyumba makumbusho
haa haaa haaa kula like mkuuKisa mange kasema.
Haya yule wa hamisa mnayesema ni wa dai mbona matunzo hapewi mpaka kuburuzwa mahakamani?
Halafu watu mnadhani kupima DNA ni sawa na kupima malaria aiseee