Ndio kwa mujibu wa uislamu.so diamond akifa leo mali zitupwe kisa watoto hawajazaliwa kwenye ndoa
Uislam mgumu kwenye kipengele hiki, itabidi tuende kwa jamaa wanaoamini kuwa kitanda kinaweza kuzaa haramu (serikali)Samahan naomba nikurekebishe, Tukirudi Kwenye dini ya kiislam Nillan na Tiffa wote ni watoto haramu wamezaliwa nje ya ndoa hata kama Zari angeolewa bado ni watoto haramu kwa dai mtoto haramu Hana urithi kwa baba yake na baba Hana urithi kwa mtoto wake. Kidini hawaruhusiwi kurithi hata kijiko.
So whaaat,nenda akakunyonye makalioUNATAKA MTOTO ILI UPATE MTAJI.ZARI ANAWAZIDI KWA KILA KITU MNAMUONEA WIVU TU NYIE MABUZI YA KIBONGO.TUNAWANUNULIA VOCHA LAKINI BADO MNATUBIP.ZARI NI MASHINE NYINGINE
HahahahahaKwani kupima DNA kunahitaji tani ngapi za malori???
nimegundua unapenda sana udaku, before hizi thread ziunganishwe kuna mwenzio nae aliandika thread ndio nikakoment huko, ssa kwa sababu zimeunganishwa na wewe hujui ukaona uachie hilo neno, ambapo haraka haraka inareflect wewe ni mtu wa aina ganiKomaaaaaaaa
safi sana wakili wangu msomiNdugu JINOME ,peleka umbea wako kwenye jukwaa lenu husika. Hapa Jukwaa la Siasa si mahala pake. Bure kabisa!
Na kama hawajarudiana lakini kunjunjana muhimu........sio kwa jinsi anavyompenda huyo dai.[/QUOTE]Na UOTE="geniveros, post: 23801590, member: 224175"]Wema anampenda mno mondi hii habari ya kurudiana naipa 80% za ukweli
Uongo ni kipaji!Sema wewe basi
😀😀😀😀😀😀Kwa hapa Dar uyu unawezakuta ni mtoto wa kiume kabisa.. acha mkuu
Saaana tu.Uislam mgumu kwenye kipengele hiki, itabidi tuende kwa jamaa wanaoamini kuwa kitanda kinaweza kuzaa haramu (serikali)
Chai jaba atarithiwa kwa nguvu anapende asipende.
Najua nyuzi zimeunganishwa maana hayo maneno ya mange sikuweka mie,nimegundua unapenda sana udaku, before hizi thread ziunganishwe kuna mwenzio nae aliandika thread ndio nikakoment huko, ssa kwa sababu zimeunganishwa na wewe hujui ukaona uachie hilo neno, ambapo haraka haraka inareflect wewe ni mtu wa aina gani
Unadhan SA ni bongo?
Muda ganiHata kama Europe matokeo ya DNA yanachukua muda.
Muda gani
Kwani ni lini Diamond aliwaambia ameowa?Sasa uoe mke aishi south Africa ww uishi bongo useme nipo kwenye ndoa huo ni uongo wa kiwango cha lami
Hata huyo mond anampenda nahis hata kuruka ruka bado moyo wake ulikuwa haujatulia kama ulivotulia kwa Wema , kila ndege hutua kwenye mti aupendao[/QUOTE]Nina mashaka na huyo dai si kwa jinsi ambavyo hatabiriki.......amegeuzwa chakula ya wadada ye anaona diliNa kama hawajarudiana lakini kunjunjana muhimu........sio kwa jinsi anavyompenda huyo dai.