Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 45,757
- 246,786
Ndio kwa mujibu wa uislamu.so diamond akifa leo mali zitupwe kisa watoto hawajazaliwa kwenye ndoa
Mtoto haramu harithi Mali ya baba ake na Wala baba harithi Mali ya mtoto wake.
Mali za diamond Mwenye wajibu wa kurithi ni mama yake tu.
Kwa mujibu wa uislam Ila akisema Mali zake zigawanywe kwa mujibu wa sheria zetu wazaz wake na watoto wote wanamafungu yao labda aache wosia wa Kisheria.