Nillan sio Mtoto wa Diamond Platnumz, Wema Sepetu analala Madale

Nillan sio Mtoto wa Diamond Platnumz, Wema Sepetu analala Madale

so diamond akifa leo mali zitupwe kisa watoto hawajazaliwa kwenye ndoa
Ndio kwa mujibu wa uislamu.
Mtoto haramu harithi Mali ya baba ake na Wala baba harithi Mali ya mtoto wake.

Mali za diamond Mwenye wajibu wa kurithi ni mama yake tu.

Kwa mujibu wa uislam Ila akisema Mali zake zigawanywe kwa mujibu wa sheria zetu wazaz wake na watoto wote wanamafungu yao labda aache wosia wa Kisheria.
 
Samahan naomba nikurekebishe, Tukirudi Kwenye dini ya kiislam Nillan na Tiffa wote ni watoto haramu wamezaliwa nje ya ndoa hata kama Zari angeolewa bado ni watoto haramu kwa dai mtoto haramu Hana urithi kwa baba yake na baba Hana urithi kwa mtoto wake. Kidini hawaruhusiwi kurithi hata kijiko.
Uislam mgumu kwenye kipengele hiki, itabidi tuende kwa jamaa wanaoamini kuwa kitanda kinaweza kuzaa haramu (serikali)

Chai jaba atarithiwa kwa nguvu anapende asipende.
 
UNATAKA MTOTO ILI UPATE MTAJI.ZARI ANAWAZIDI KWA KILA KITU MNAMUONEA WIVU TU NYIE MABUZI YA KIBONGO.TUNAWANUNULIA VOCHA LAKINI BADO MNATUBIP.ZARI NI MASHINE NYINGINE
So whaaat,nenda akakunyonye makalio
 
Na UOTE="geniveros, post: 23801590, member: 224175"]Wema anampenda mno mondi hii habari ya kurudiana naipa 80% za ukweli
Na kama hawajarudiana lakini kunjunjana muhimu........sio kwa jinsi anavyompenda huyo dai.[/QUOTE]
Hata huyo mond anampenda nahis hata kuruka ruka bado moyo wake ulikuwa haujatulia kama ulivotulia kwa Wema , kila ndege hutua kwenye mti aupendao
 
Uislam mgumu kwenye kipengele hiki, itabidi tuende kwa jamaa wanaoamini kuwa kitanda kinaweza kuzaa haramu (serikali)

Chai jaba atarithiwa kwa nguvu anapende asipende.
Saaana tu.
 
nimegundua unapenda sana udaku, before hizi thread ziunganishwe kuna mwenzio nae aliandika thread ndio nikakoment huko, ssa kwa sababu zimeunganishwa na wewe hujui ukaona uachie hilo neno, ambapo haraka haraka inareflect wewe ni mtu wa aina gani
Najua nyuzi zimeunganishwa maana hayo maneno ya mange sikuweka mie,
 
Hapo nampa sifa Dai yaani mtoto ni photocopy ya Ivan halafu anadanganywa? huyu bibi ni mjanja alikuwa anamtuliza mumewe kwa kuendelelea nae ili asitolewe kwenye mgao wa fedha. Huyu mama hata ukiangalia post zake anajali hela kuliko chochote. Ushauri Dai asikatae kutunza mtoto wake wa damu yake, hicho ndio muhimu.
 
Na kama hawajarudiana lakini kunjunjana muhimu........sio kwa jinsi anavyompenda huyo dai.
Hata huyo mond anampenda nahis hata kuruka ruka bado moyo wake ulikuwa haujatulia kama ulivotulia kwa Wema , kila ndege hutua kwenye mti aupendao[/QUOTE]Nina mashaka na huyo dai si kwa jinsi ambavyo hatabiriki.......amegeuzwa chakula ya wadada ye anaona dili
 
Kumbe Mange Kasema basi sina la kuongeza ngoja ninyamaze...
 
Back
Top Bottom