Nillan sio Mtoto wa Diamond Platnumz, Wema Sepetu analala Madale

I see
 
Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    9.4 KB · Views: 71
Wengi wanamchukia nillan kwa sababu ni mtoto wa kiume(tena wa zari) mwenye haki ya kurithi mali za baba yake kwa sheria za dini ya dai. Tiffa hawamtaji wala kumtukana kama zaman alipokua mchanga
Nillan katika uislamu hana urithi...Katika uislam mtoto wa nje wa mwanaume ni mtoto wa mama..Katika uislamu Daimond anaruhusiwa kumuoa Tiffa..(Waislamu nirekebisheni katika hili)
 
Aiseeee hahahaha maajabu ya karne
Nillan katika uislamu hana urithi...Katika uislam mtoto wa nje wa mwanaume ni mtoto wa mama..Katika uislamu Daimond anaruhusiwa kumuoa Tiffa..(Waislamu nirekebisheni katika hili)
 
Alituambia hamisa ana mimba ya daimond-na ikawa kweli na dai kakubali mtoto
Alisema hamornize anadate na mzungu-ni kweli
Mange akisema kitu kikawa cha uongo anakanusha vingi anasema kweli,,,ambavyo wengine hamuwezi kutupa ubuyu mtupishe

Pia alisema kwamba Zuleha ni mtoto wa Zari na pia alisema Tiffa ni mtoto wa Katunzi, haya pia yalikua ya ukweli?
 
Nillan katika uislamu hana urithi...Katika uislam mtoto wa nje wa mwanaume ni mtoto wa mama..Katika uislamu Daimond anaruhusiwa kumuoa Tiffa..(Waislamu nirekebisheni katika hili)
haijathibiti kimaandiko sahihi (qur an n sunnah) kama kweli mtu anaweza kumuoa mtoto wake wa nje ya ndoa...maulamaa wamekhitilafiana katika hili! wala haijawahi kutokea wakati wa mtume SAW mwanamme kumuoa binti yake wa nje....huyo mtoto wa nje anakosa uhalali wa ubini tu kisheria lakini kibaiyolojia bado ni mwanao, so humanity na thickness of blood must come into play when it comes to marry your outwed daughter...

Uislamu unahimiza kumuandalia mazingira na maisha mazuri mtoto wa nje kabla mzazi hajafariki kwani haki nyengine anayoikosa ni kumrithi mzazi wake!
 
Wema anampenda mno mondi hii habari ya kurudiana naipa 80% za ukweli
Hivi huwa anampendea lihogo au ile midomo ya kunyonyea *** ( in mange's voice)

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asee Leo mange kaniacha hoiii
 
haijathibiti kimaandiko sahihi (qur an n sunnah) kama kweli mtu anaweza kumuoa mtoto wake wa nje ya ndoa...maulamaa wamekhitilafiana katika hili! wala haijawahi kutokea wakati wa mtume SAW mwanamme kumuoa binti yake wa nje....huyo mtoto wa nje anakosa uhalali wa ubini tu kisheria lakini kibaiyolojia bado ni mwanao, so humanity na thickness of blood must come into play when it comes to marry your outwed daughter...

Uislamu unahimiza kumuandalia mazingira na maisha mazuri mtoto wa nje kabla mzazi hajafariki kwani haki nyengine anayoikosa ni kumrithi mzazi wake!
Ohoo...asante kwa maelezo..basi aliyeniambia kuhusu hili hakuwa sahihi
 
Back
Top Bottom