cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Umeitwa hapa we changu
Ooooh changu tena
Ha ha aaaaaaa
Mama Dangote kawashushua huko si umeona au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeitwa hapa we changu
Mkuu, look at that kapicha nilikokaweka ambapo wapo woteKaazi
Zinaa ni haramu basi hata kitokanacho na zinaa ni haramu piaKtk uislam hakuna mtoto wa haraam ktk maandiko yote unayoyajua isipokuwa kuna mtoto wa zinaa
Issue sio mtoto hapa ....issue ni trustKumpima DNA yule mtoto ni kumtesa tu.
Nillan katika uislamu hana urithi...Katika uislam mtoto wa nje wa mwanaume ni mtoto wa mama..Katika uislamu Daimond anaruhusiwa kumuoa Tiffa..(Waislamu nirekebisheni katika hili)Wengi wanamchukia nillan kwa sababu ni mtoto wa kiume(tena wa zari) mwenye haki ya kurithi mali za baba yake kwa sheria za dini ya dai. Tiffa hawamtaji wala kumtukana kama zaman alipokua mchanga
Nillan katika uislamu hana urithi...Katika uislam mtoto wa nje wa mwanaume ni mtoto wa mama..Katika uislamu Daimond anaruhusiwa kumuoa Tiffa..(Waislamu nirekebisheni katika hili)
Muislamu mmoja athibitishe hiki nikisemacho mkuuAiseeee hahahaha maajabu ya karne
Alituambia hamisa ana mimba ya daimond-na ikawa kweli na dai kakubali mtoto
Alisema hamornize anadate na mzungu-ni kweli
Mange akisema kitu kikawa cha uongo anakanusha vingi anasema kweli,,,ambavyo wengine hamuwezi kutupa ubuyu mtupishe
Mmmh umeenda mbali sana, hebu weka kapuni hiyo.... lolMuislamu mmoja athibitishe hiki nikisemacho mkuu
haijathibiti kimaandiko sahihi (qur an n sunnah) kama kweli mtu anaweza kumuoa mtoto wake wa nje ya ndoa...maulamaa wamekhitilafiana katika hili! wala haijawahi kutokea wakati wa mtume SAW mwanamme kumuoa binti yake wa nje....huyo mtoto wa nje anakosa uhalali wa ubini tu kisheria lakini kibaiyolojia bado ni mwanao, so humanity na thickness of blood must come into play when it comes to marry your outwed daughter...Nillan katika uislamu hana urithi...Katika uislam mtoto wa nje wa mwanaume ni mtoto wa mama..Katika uislamu Daimond anaruhusiwa kumuoa Tiffa..(Waislamu nirekebisheni katika hili)
Hivi huwa anampendea lihogo au ile midomo ya kunyonyea *** ( in mange's voice)Wema anampenda mno mondi hii habari ya kurudiana naipa 80% za ukweli
Kanavuta bangi mbichii hatareeDon't trust her wema hajielewii
Si bora aseme ana tu Nyumba...akatop up kuwa kainunua 400 tsh...kimeo kileSinaga imani NAYE aliyesema ana nyumba makumbusho
Ohoo...asante kwa maelezo..basi aliyeniambia kuhusu hili hakuwa sahihihaijathibiti kimaandiko sahihi (qur an n sunnah) kama kweli mtu anaweza kumuoa mtoto wake wa nje ya ndoa...maulamaa wamekhitilafiana katika hili! wala haijawahi kutokea wakati wa mtume SAW mwanamme kumuoa binti yake wa nje....huyo mtoto wa nje anakosa uhalali wa ubini tu kisheria lakini kibaiyolojia bado ni mwanao, so humanity na thickness of blood must come into play when it comes to marry your outwed daughter...
Uislamu unahimiza kumuandalia mazingira na maisha mazuri mtoto wa nje kabla mzazi hajafariki kwani haki nyengine anayoikosa ni kumrithi mzazi wake!