Nimchokoze Mohamed Said juu ya historia ya Denis Phombeah; ni vipi alishiriki katika uhuru wa Tanganyika?

Nimchokoze Mohamed Said juu ya historia ya Denis Phombeah; ni vipi alishiriki katika uhuru wa Tanganyika?

Wadau,

Mimi ni msomaji sana wa historia za Sheikh wangu, Mohamed Said na nimekuwa na bahati ya kukutana naye pia nyumbani kwake Magomeni Mapipa, miaka miwili iliyopita. Kama kawaida yake, ukimchokoza na kifurushi cha jero, yeye anakuletea kifurushi cha 50k.

Hebu leo kwa faida ya wasomaji, tupate historia ya Denis Phombeah, kwenye historia ya uhuru wa Tanganyika. Nimemsoma kwenye kitabu cha The Life and Times of Abdulwahid Sykes; Untold Stories of Muslims Struggle in Tanganyika. Huwa sichoki kukisoma.

Sasa, sijui tutaanzia wapi, ila niko interested sana na safari ya Denis Phombeah na safari yake Salisbury akiwa na Ali Sykes.

Karibu Mohamed Said
Hussein,
Kwa kuwa somo hili tulishalisoma sidhani kama kuna haja ya mimi kuongeza chochote.

Turejee tu kwa yale ya nyuma tujikumbushe.
 
mzee Said unapokua kwenye mjadala flani hapa jukwaa la history huwa kuna watu wanajaribu kukukwaza kwa makusudi kabisa ili kukutoa kwenye mada husika,nakushauri uwe unawapuuza ili ubaki kwenye content watu tupate faida bana.

vijana wa hovyo unapoteza muda kuwajibu wengine wamekosa radhi za wazazi wao wewe utawaweza!.
Mohamed Said
 
Back
Top Bottom