Nime-apply chuo NACTE nahitaji kujua tulio apply ni wa ngapi?

Samora magafu

Member
Joined
Jun 12, 2022
Posts
16
Reaction score
9
Maana nikingia kwenye tovuti ya NACTE kuna sehemu imeandikwa applicant choose as:36 afu kwa mbele wameandika capacity 50 Sasa naomba kuuliza Hao 36 ndo idadi ya watu walio apply..

Samahan lakin kwa usumbufu
 
Piga picha hiyo profile..na hiyo kozi gani umeomba?
View attachment 2293498
Hadi saiv wanafunzi walio chagua iyo course ni 32 ambao wameomba kama chaguo la kwanza

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Samahan naomba kuuliza nina div two ya 18 je naweza Pata nafasi.. Hapo..
 
Binafsi Nina amini utapata maana wanaomba medical lab wengi huwa Wana ufaulu wa kawaida.
Asante sana me waga nasoma sana ushauri wako ata kwa wengin ambao wanauliza waga unashauri vzr sana na haumkatish mtu tamaa Asante sana.. Nataman ata niwe Nakuuliza maswali direct ww
 
Maana apa nina two ya 18 afu pia nina pys C, bio B, Chem C, math D.. Afu nimeapply chuo cha dar es police academy medical laboratory
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…