Nime - bet nimeshinda milioni 18 naombeni wazo la uwekezaji

Mm sibet tena kwakwel labda ngoja izo ideas nyingine niishi nazo
 
Kubet hapana kwakwel... Labda niishi na izo ideas nyingine
 
Mwambie awaambie kua;

"Hela zote zimechukuliwa na pepo mchafu,tufunge na kuomba ili kulikemea hili pepo chafu"

[emoji1787][emoji1787]
[emoji23]hela za kanisa hawawezi kumuelewa.

Halafu anaomba tumkopee,watu wanahitaji hela zao

Alijua kabisa kuwa watu wanahitaji hela zao,akaona abet eti alikadiria kupata million 18.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! na uongo sasa

Huu mchezo nilijiepushanao mapema sana yaani sitaki hata kujua mkeka unasukwaje na nashukuru umenipitia kushoto.

Nikiona washkaji wanavyobet huwa naishia kuwatazama tu.
 
Upo mkoa gani? Unafanya shughuli gani tofaut na kubet? Wekeza kwenye kitu unachokifaham...unaish home au umepanga?
 
Dah! na uongo sasa

Huu mchezo nilijiepushanao mapema sana yaani sitaki hata kujua mkeka unasukwaje na nashukuru umenipitia kushoto.

Nikiona washkaji wanavyobet huwa naishia kuwatazama tu.
Halafu ni mtu msomi na akili zake..
Mtunza hazina wa kikundi kanisani huko..
Ila akaenda kubet hela za kanisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo mkoa gani? Unafanya shughuli gani tofaut na kubet? Wekeza kwenye kitu unachokifaham...unaish home au umepanga?
Niko moshi....... Iyo pesa ilikua ya pocket money kipindi niko fom six. Mm nimeuwa six mwaka huu tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa ndo nimebahatisha 18m
 
Niko moshi....... Iyo pesa ilikua ya pocket money kipindi niko fom six. Mm nimeuwa six mwaka huu tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa ndo nimebahatisha 18m
Kafungue fixed account..weka 15m..iliyobaki weka ya kuanzia maisha chuoni..endelea kusoma kwanza...
 
Ngoja nijaribu mkuu..... Ila nackia cku izi vijana hawaajirik.nisije kuwaajir wakanitia hasara
Kama bado Una endelea na masomo kaweka bank iyo pesa 16m au 15m ifunge mpk utakapo maliza shule ifunge kwenye fixed account ambayo unapata faida asilimia flani kila watakapo itumia so unaweza weka 15m ukaja kuta 25m or 30m kutokana na mda ulio weka hapo sasa utatulia na kutuliza akili ujue unafanya biashara gani au unafungua biashara gani
 
Ila na chuo pia nataka nifanye biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…