Nime - bet nimeshinda milioni 18 naombeni wazo la uwekezaji

Naomba mfano wa kiasi gani kiliwekwa, kwa muda gani, na taasisi gani, na faida ilipatikana kiasi gani?
Wewe kesho asubuhi nenda CRDB au bank yoyote iliyo karibu yako kaulize nikiweka 18M ktk fixed muda wa mwaka napata faida % ngapi?

Naongea kitu ambacho nakijua, next month tunaenda kuchukua pesa iliyo iva na hatu deposit tena kwa fixed account bora tukanunue mazao tuuze.
 
Ngoja tutafute pesa mkuu utupe connection
Na iyo sio lazima uanze na iyo 2.6M iyo ni kiwango cha maximum ambapo kiwango cha chini ni 2,600 yaani elfu 2 na mia sita hasa kweli mtu akuibie 2600??
 
Piga kwanza Punyeto ku clear bad decisions, ili upate mawazo mazuri.
 
Dili gan ilo mkuu tupe summary
Iko ivi:
Kiwango cha chini cha kuinvest ni 2600 cha juu kabisa ni 2.6M ambapo unakua unapokea 6% ya ela ulowekeza kwa siku 100. Unaruhusiwa kuwekeza zaidi na zaidi. Na kuna viwango vya kati kati ya iyo 2600 na 2.6M ambapo mm nilianza na 26,000 mpk sasa nimefikisha 31000 na nilishatoa elfu 20 cash. Hii ni online network ambapo imebase kwny kuwekeza zaidi.
 
Online network....

Pesa unaiweka kwa mtindo upi? Unamtumia "usiyemjua" kwenye line yake au inakuwaje?

Tafadhali tueleza namna unavyoweka hiyo pesa ili itusaidie kujua wewe na sisi pia.
 
Mkuu hii ishu ni ya jamaa wa IT mmoja wa Kenya uko na ni legal uko kwao na ameifungulia hadi kampuni. Kama unakua huna imani nae ndio maana ameweka kima cha chini 2600 ili imani ijengeke kadri siku zinavyozid kusonga
 
Hongera kwa ushindi, ila hiyo pesa haitakufikisha popote kwa vile hukuifanyia kazi.

Samahani lakini.
Ndivyo walokole wengi mnavyo danganyana wakati kuna watu wamejenga nyumba za kisasa kwa pesa ya kubet.
 
Mkuu nicheck pm kuna sehemu nitakuelekeza ukawekeze haizid 2.6M utakua unapokea 156,000 kila siku kwa siku 100 na unaruhusiwa kuwekeza tena na tena
Tapeli huyu.
 
  • Thanks
Reactions: hnp
Iko ivi:
Kiwango cha chini cha kuinvest ni 2600 cha juu kabisa ni 2.6M ambapo unakua unapokea 6% ya ela ulowekeza kwa siku 100. Unaruhusiwa kuwekeza zaidi na zaidi. Na kuna viwango vya kati kati ya iyo 2600 na 2.6M ambapo mm nilianza na 26,000 mpk sasa nimefikisha 31000 na nilishatoa elfu 20 cash. Hii ni online network ambapo imebase kwny kuwekeza zaidi.
Weka link watu waingie wenyewe ili usitumie mda mwingi kueleza watu badae uitwe tapeli
 
Jamiiforums ikoje siku hizi. Mtu kaomba ushauri lakini yanayoandikwa ni balaa tupu
 
Mkuu nicheck pm kuna sehemu nitakuelekeza ukawekeze haizid 2.6M utakua unapokea 156,000 kila siku kwa siku 100 na unaruhusiwa kuwekeza tena na tena
Hii ni Qnet au network marketing?

PYRAMID SCHEME A.K.A UPATUUUU

#YNWA
 
Back
Top Bottom