Nime - bet nimeshinda milioni 18 naombeni wazo la uwekezaji

Nime - bet nimeshinda milioni 18 naombeni wazo la uwekezaji

Na iyo sio lazima uanze na iyo 2.6M iyo ni kiwango cha maximum ambapo kiwango cha chini ni 2,600 yaani elfu 2 na mia sita hasa kweli mtu akuibie 2600??
Wazee wa FOREVER LIVING at.el

#YNWA
 
Hahahaaa weka link acha utapeli bana hasira za nini sasa
Nilifanya kuielezea ili kujaribu kumfahamisha muweka uzi kama itamvutia awekeze na kama hana imani nayo aweke kima cha chini 2600 ila kwakua naonekana tapeli, tufanye hii kitu haipo duniani. Nimeufunga mjadala kuhusu hii ishu
 
Naomben ushaur jamani. nimebet jana nimeshinda 18m sasa sielewi hii pesa ni invest wapi ili iweze ku multiply.........

Msaada tafadhali [emoji257]
Kuna lile wazo la biashara ulilokuwa ukiliwaza kila siku...
Kalifanye sasa.

Au kama huna KANUNUE GOVERNMENT BONDS and TREASURY BILLS.

Hizi ni riskless assets na WITH YES AND EXACTLY RETURN.

#YNWA
 
Nilifanya kuielezea ili kujaribu kumfahamisha muweka uzi kama itamvutia awekeze na kama hana imani nayo aweke kima cha chini 2600 ila kwakua naonekana tapeli, tufanye hii kitu haipo duniani. Nimeufunga mjadala kuhusu hii ishu
Mnawanunulisha watu bidhaa wakauze halafu hamuwapi marketing skills.

Then wanadoda nazo na kujutia hela zao.

Dunia ya sasa ukiona Unaitwa kwenye fursa jua wewe ndio fursa.

#YNWA
 
Mnawanunulisha watu bidhaa wakauze halafu hamuwapi marketing skills.

Then wanadoda nazo na kujutia hela zao.

Dunia ya sasa ukiona Unaitwa kwenye fursa jua wewe ndio fursa.

#YNWA
Ahsante, naomba tuufunge huu mjadala mkuu.
 
Endelea kuotea. Kibaya zaid hii haihusiki na products zozote ila kwakua naonekana tapeli. Hii ishu haipo mkuu tuendelee kufanya kazi.
Hakunaga hela za bure bro.

Kwamba Nikupe hela then ndani ya mwaka (siku 365) unipe zaidi ya Mil 40.
😳😳😳😳😳

Ngastuka machale kundesa.

Nina fanya Kazi serikalini zenye Investments, Economics, and Finance.

Then I HAVE KNOWLEDGE KUBWAA SANAA NA UWEKEZAJI.

Hebu Leta mada tuijadili hapa kwa kutumia factor za darasani na MTAANI (Real World).

Kwamba Nikupe tu hela unirudishie mihela.

HIYO BIASHARA NI IPI?

#YNWA
 
Hapo siku chache kabla alikuwa anaelezea kuhusu betting.

Anasema yaani hela za mteremko zipo huko,,akajiaminisha mwenyewe akasuka mikeka...yote ikachanika.
Sadaka za watu anaenda kubetia.
Anapiga simu mwanzo alidanganya,akasema ameibiwa hela ndani..
Kumbe amebet!.

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣anabetia pesa za sadaka🤣🤣🤣🤣
 
Kama bado Una endelea na masomo kaweka bank iyo pesa 16m au 15m ifunge mpk utakapo maliza shule ifunge kwenye fixed account ambayo unapata faida asilimia flani kila watakapo itumia so unaweza weka 15m ukaja kuta 25m or 30m kutokana na mda ulio weka hapo sasa utatulia na kutuliza akili ujue unafanya biashara gani au unafungua biashara gani
Uko sahihi kwenye kuweka fixed ila huo usahihi kwenye faida ya 25m-30m unanipa mashaka unless ataiweka kwa more than 10yrs

Bank nyingi fixed rate yake huwa haizidi 10% sp
 
Iko ivi:
Kiwango cha chini cha kuinvest ni 2600 cha juu kabisa ni 2.6M ambapo unakua unapokea 6% ya ela ulowekeza kwa siku 100. Unaruhusiwa kuwekeza zaidi na zaidi. Na kuna viwango vya kati kati ya iyo 2600 na 2.6M ambapo mm nilianza na 26,000 mpk sasa nimefikisha 31000 na nilishatoa elfu 20 cash. Hii ni online network ambapo imebase kwny kuwekeza zaidi.
Collateral zao ni zip ili mi niweze kuwekeza hela angu ukoo?
 
Mkuu hii ishu ni ya jamaa wa IT mmoja wa Kenya uko na ni legal uko kwao na ameifungulia hadi kampuni. Kama unakua huna imani nae ndio maana ameweka kima cha chini 2600 ili imani ijengeke kadri siku zinavyozid kusonga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] guuusaaa unateeee
 
Milioni 2 kula watoto wazuri
Milioni 3 nunua kiwanja Chanika
Milioni 8 Jenga chumba master na kasebule
Milioni 3 mpe mzazi wako(kamfungulie biashara au kamkaratie nyumba yake).
Milioni 2 weka mfukoni itakusaidia.
******* Usile watoto wazuri nunua boxer mpya upate hesabu ya 10k per day ndani ya mwaka.
 
Back
Top Bottom