Nime - bet nimeshinda milioni 18 naombeni wazo la uwekezaji

Naomben ushaur jamani. nimebet jana nimeshinda 18m sasa sielewi hii pesa ni invest wapi ili iweze ku multiply.........

Msaada tafadhali [emoji257]
Mkuu nicheck pm kuna sehemu nitakuelekeza ukawekeze haizid 2.6M utakua unapokea 156,000 kila siku kwa siku 100 na unaruhusiwa kuwekeza tena na tena
 
Kama bado Una endelea na masomo kaweka bank iyo pesa 16m au 15m ifunge mpk utakapo maliza shule ifunge kwenye fixed account ambayo unapata faida asilimia flani kila watakapo itumia so unaweza weka 15m ukaja kuta 25m or 30m kutokana na mda ulio weka hapo sasa utatulia na kutuliza akili ujue unafanya biashara gani au unafungua biashara gani
Hivi nyie watu mnajua faida ya fixed account ni ndogo sana?
Bora atafute biashara ya kuifanya izunguke na kuzaa faida kubwa kidogo kuliko fixed account.
 
Dooh! Huyo anahasara kubwa sana maishani mwake inabidi azinduke haraka sana.

Yaani hatua aliyofikia ni mbaya sana atafedheheka

Mshauri atoke huko kama unaweza
[emoji23]
Yaani yeye ndio alituletea hizo habari za betting na akawa anatuhadithia inavyokuwa,anatushauri tuingie kubet.

Hizo stori alikuwa anapiga mimi wala sikumsikiliza.
Hata wiki haijapita anapiga simu kuwa amepoteza hela[emoji23].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Betting sio rahisi wakubwa inahitaj uwe na macho ya rohon na analysis kali sana.... Uyo mwamba mpen pole tu hakuna namna pesa zake zishaingia kwenye circle
 
Tafadhari kanikopee pesa kanisani na mimi nijaribu mkeka wangu...😀
 
[emoji23]
Yaani yeye ndio alituletea hizo habari za betting na akawa anatuhadithia inavyokuwa,anatushauri tuingie kubet.

Hizo stori alikuwa anapiga mimi wala sikumsikiliza.
Hata wiki haijapita anapiga simu kuwa amepoteza hela[emoji23].

Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe anarecruit kabisa[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna dili Arusha la kusafirisha "mimea" fulani hivi inahitaji milioni 15 tu ikitoboa Kenya unapata milioni 50🤣🤸🐒
20210701_225317.jpg
 
Betting sio rahisi wakubwa inahitaj uwe na macho ya rohon na analysis kali sana.... Uyo mwamba mpen pole tu hakuna namna pesa zake zishaingia kwenye circle
Mwanzo alibet hela ndogo akapata.

Akaamua aweke pakubwa .
Yaani hesabu zake alivyokuwa anapiga .anasema yaani ukishaweka 2m mikeka ikitick tayari unakuwa na 18m.
Hatukujua kama anaenda kujaribu kwa vitendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nyie watu mnajua faida ya fixed account ni ndogo sana?
Bora atafute biashara ya kuifanya izunguke na kuzaa faida kubwa kidogo kuliko fixed account.
Naomba mfano wa kiasi gani kiliwekwa, kwa muda gani, na taasisi gani, na faida ilipatikana kiasi gani?
 
Back
Top Bottom