Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Katika hali ya kutatanisha nilijikuta nimefall in love na mwana JF mwenzangu. Tulianza kimzaha lakini baadae kizaha zaha! Radi HUPIGA mara moja.
Bahati mbaya shetani aliingilia kati na kuzua taharuki kwenye mahusiano yetu! Nitampata wapi huyu binti mpaka namba za simu kabadilisha!
Ni pale unapomkosa mtu katika maisha yako ndio unatambua umuhimu wake.
My future wife please rudi.
Nakusanya hela ya bango..mambo mazuri mwishoni😎Bila picha Mkuu?
Asante, nashukuru sana..Pole sana, hayanaga muongozo...
Raha jipe mwenyewe..Jiachie tu kwani sh ngapi????
AsanteMtafute Mzizi Mkavu akupatie kijiti 😂😂😂😂😂
CLASSIFIED INTELLIGENCE!😎Ulimla au hukumla?? Tuanzie hapo!.
Kivp[emoji849][emoji849][emoji849]sio raha za aina yoteraha jipe mwenyewe..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani umekua fisi
[emoji23][emoji56]
furaha ni safari sio mahala..unaeza kufurahia mapenzi bila pesa lakini vile vile huwezi kufurahia pesa bila mapenzi.upo hapo?😁vitu vidogo kwa mwishoni ..Kivp[emoji849][emoji849][emoji849]sio raha za aina yote
Takwimu zako haziko sahihi.Zipo Judgemental sana! Lakini what happens in Vegas stays in Vegas! I DON'T kiss and tellBed performance 0%
Word performance 90%
Hela performance 0%
Ulimla kimasihara lakini?? Atleast useme ulikula na wewe??!!!
Napenda wanawake ambao wapo tayari kwa loloteKaenda kufanya challenge ya Gidi ya kaka diamond[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole kaka Zigidii
Asante dada Darlin🤓Kaenda kufanya challenge ya Gidi ya kaka diamond[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole kaka Zigidii
Hela ya kumfanya apendeze ulikuwa nayo? Ulikuwa unampa hela au mpaka aombe na akiomba unampa elfu kumi?mpaka naposti kwenye public ujue ni mwanamke wa kipekee na nimemwelewa zaidi dunia nzima itambue love is real
Hatukuwa na mahusiano ya pesa nilimpa kile anachotaka ndio maana hakuwa na mtu mwingine!Hela ya kumfanya apendeze ulikuwa nayo? Ulikuwa unampa hela au mpaka aombe na akiomba unampa elfu kumi?
Napenda wanawake ambao wapo tayari kwa lolote