Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Katika hali ya kutatanisha nilijikuta nimefall in love na mwana JF mwenzangu. Tulianza kimzaha lakini baadae kizaha zaha! Radi HUPIGA mara moja.
Bahati mbaya shetani aliingilia kati na kuzua taharuki kwenye mahusiano yetu! Nitampata wapi huyu binti mpaka namba za simu kabadilisha!
Ni pale unapomkosa mtu katika maisha yako ndio unatambua umuhimu wake.
My future wife please rudi.