Nime furahi sana, baada ya kujua mpinzani wangu ana kwenda kufunga ndoa

Nime furahi sana, baada ya kujua mpinzani wangu ana kwenda kufunga ndoa

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
46,398
Reaction score
102,530
Ukisikia zali la mentali au dua zime tiki basi ndio hili, maana baada ya kusikia taarifa hii basi naona hii ndio turning point yangu.

Taarifa zenyewe ni kuhusu brother mmoja ambae ni Kama mpinzani wangu, kwenye biashara fulani fulani hivi,
Brother huyu katangaza kuwa atafunga ndoa ndani ya mwezi huu.

Sio kwamba nafurahia Kwa ubaya, ila kila niki Kumbuka kipindi ndio naingia kwenye game huyu brother ali tuwekea vigingi na vipangamizi sana kudadeki.

Ili fikia kipindi hadi tuki piga deal pamoja na wateja wao, basi mwamba ana kuja kutu mind miksa biti 2-3.

Haya Sasa ni zamu yako kaka, si Ume amua mwenyewe kuli kumbatia zimwi la ndoa basi na uyatimbe vizuri.

Wakuu zenu Dua, maana naona it's my turn to rule the game.

I mean no malice to nobody.
FB_IMG_16860196830983857.jpg
 
ukisikia zali la mentali au dua zime tiki basi ndio hili, maana baada ya kusikia taarifa hii basi naona hii ndio turning point yangu.

taarifa zenyewe ni kuhusu brother mmoja ambae ni Kama mpinzani wangu, kwenye biashara fulani fulani hivi,
Brother huyu katangaza kuwa atafunga ndoa ndani ya mwezi huu.

sio kwamba nafurahia Kwa ubaya, ila kila niki Kumbuka kipindi ndio naingia kwenye game huyu brother ali tuwekea vigingi na vipangamizi sana kudadeki.

Ili fikia kipindi hadi tuki piga deal pamoja na wateja wao, basi mwamba ana kuja kutu mind miksa biti 2-3.

Haya Sasa ni zamu yako kaka, si Ume amua mwenyewe kuli kumbatia zimwi la ndoa basi na uyatimbe vizuri.

wakuu zenu Dua, maana naona it's my turn to rule the game.

I mean no malice to nobody.
View attachment 3359468
wakuu zenu Dua, maana naona it's my turn to rule the game.🔥🔥🤣🤣🤣🤣
 
Hujui ndoa ni jeraha mkuu, kataa ndoa sio mabwege.

hapo ni 30 kutoboa, 70 kuharibu.
Kwanini unaamini kilichokushinda wewe kitamshinda kila mtu???

unafanya biashara right?? Na possible unaiweza vizuri kabisa, lakini kuna mwingine hajui na hawezi chochote kuhusu biashara, hata ukimpa mtaji wa milions with no time utaisha.....same same katika ndoa, kama kwako haikuwork, kuna mahali inawork vizuri sana.

🤝🤝
 
Kwanini unaamini kilichokushinda wewe kitamshinda kila mtu???

unafanya biashara right?? Na possible unaiweza vizuri kabisa, lakini kuna mwingine hajui chochote kuhusu biashara, hata ukimpa mtaji wa milions with no time utaisha.....same same katika ndoa, kama kwako haikuwork, kuna mahali inawork vizuri sana.

🤝🤝
Mkuu kwanza haikunishinda, kwasababu sija wahi kuoa aisee.

Ndio nafanya biashara mkuu, nina portfolio kadhaa hapo. japo mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max.

Madam ndoa za siku hizi ni tofauti sana, game ime pinduka wanawake wale wa 70-80-85 version yao ime pungua kinyama.
 
Aisee, nimeshangaa sana, angalia usije kujikuta ukarun out of way/game badala ya kurule...

Ndoa ni jambo lenye faida kwa mwanaume kwa asilimia 100 ikiwa anapata mwanamke sahihi.

Mimi nafikiri ungeshughulika na tabia za muhusika ikiwa anafanya dhuluma, ila kuingiza ndoa yake kwenye biashara zenu sidhani ni sahihi.
 
Back
Top Bottom