Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
What a surprise!!!! (Leo ni kinge tu kama DC)Mkuu kwanza haikunishinda, kwasababu sija wahi kuoa aisee.
Ndio nafanya biashara mkuu, nina portfolio kadhaa hapo. japo mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max.
Madam ndoa za siku hizi ni tofauti sana, game ime pinduka wanawake wale wa 70-80-85 version yao ime pungua kinyama.
Haujawahi kuoa, ila umesimuliwa hadi umeona ndoa ni majeraha......na hadi umeona itakua fair kwa biashara yako, yani kaoa yeye ila biashara yako itanyooka, oooh pole sana.
Basi sawa tuendelee na no reforms no election.