Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
wakuu zenu Dua, maana naona it's my turn to rule the game.🔥🔥🤣🤣🤣🤣ukisikia zali la mentali au dua zime tiki basi ndio hili, maana baada ya kusikia taarifa hii basi naona hii ndio turning point yangu.
taarifa zenyewe ni kuhusu brother mmoja ambae ni Kama mpinzani wangu, kwenye biashara fulani fulani hivi,
Brother huyu katangaza kuwa atafunga ndoa ndani ya mwezi huu.
sio kwamba nafurahia Kwa ubaya, ila kila niki Kumbuka kipindi ndio naingia kwenye game huyu brother ali tuwekea vigingi na vipangamizi sana kudadeki.
Ili fikia kipindi hadi tuki piga deal pamoja na wateja wao, basi mwamba ana kuja kutu mind miksa biti 2-3.
Haya Sasa ni zamu yako kaka, si Ume amua mwenyewe kuli kumbatia zimwi la ndoa basi na uyatimbe vizuri.
wakuu zenu Dua, maana naona it's my turn to rule the game.
I mean no malice to nobody.
View attachment 3359468
Hahaha, waswahili wana sema adui mwombee njaa, aki simama sisi tuna kaa, aki anguka sisi furaha.wakuu zenu Dua, maana naona it's my turn to rule the game.🔥🔥🤣🤣🤣🤣
Ume haribiwa Sana, haukuwa hivyo huko nyuma.We unaolewa lini?👌👌
nini tena 🤔Inasikitisha sana!
Sio demu, huyu ni competitor wangu kwenye biashara fulani, sasa kaamua kufunga ndoa.Mlikua mnagombea demu au sijaelewa?
Anyway no reforms no election
Kwamba akifunga ndoa biashara inakufa?Sio demu, huyu ni competitor wangu kwenye biashara fulani, sasa kaamua kufunga ndoa.
Rip in advance kudadadeki.
Ili iweje mkuu?Nipe namba yake.
Hujui ndoa ni jeraha mkuu, kataa ndoa sio mabwege.Kwamba akifunga ndoa biashara inakufa?
Kwanini unaamini kilichokushinda wewe kitamshinda kila mtu???Hujui ndoa ni jeraha mkuu, kataa ndoa sio mabwege.
hapo ni 30 kutoboa, 70 kuharibu.
Kaka kwa hizi ndoa za siku hizi, ni sawa sawa na kupima kina Cha bahari kwa vidole.Siku hizi adui anaombewa ndoa sio njaa tena 🤣🤣
Mkuu kwanza haikunishinda, kwasababu sija wahi kuoa aisee.Kwanini unaamini kilichokushinda wewe kitamshinda kila mtu???
unafanya biashara right?? Na possible unaiweza vizuri kabisa, lakini kuna mwingine hajui chochote kuhusu biashara, hata ukimpa mtaji wa milions with no time utaisha.....same same katika ndoa, kama kwako haikuwork, kuna mahali inawork vizuri sana.
🤝🤝