Nime furahi sana, baada ya kujua mpinzani wangu ana kwenda kufunga ndoa

What a surprise!!!! (Leo ni kinge tu kama DC)
Haujawahi kuoa, ila umesimuliwa hadi umeona ndoa ni majeraha......na hadi umeona itakua fair kwa biashara yako, yani kaoa yeye ila biashara yako itanyooka, oooh pole sana.

Basi sawa tuendelee na no reforms no election.
 
What a surprise!!!! (Leo ni kinge tu kama DC)
Haujawahi kuoa, ila umesimuliwa hadi umeona ndoa ni majeraha......oooh pole sana.

Basi sawa tuendelee na no reforms no election.
Hahaha, bro naona Ume amua kumchokoza DC.

si una jua utafiti una njia mbali mbali, aidha kwa kushiriki, kuji onea mwenyewe, au kuambiwa kutoka kwenye chanzo husika.

Ma brother wawili wa karibu ndoa zime wapeleka puta kudadadeki, mwingine ali mahakamani ila bahati yake ali shinda kesi dhidi ya mkewe.
 
Bro ndugu zako sio wewe......

Na option ni mbili tu kuoa au kuolewa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mkuu hapo kwenye mwanamke sahihi Ume nena vyema, ila kwenye watu 100 - basi 80 zina wagaragaza.

Wala sina noma nae, ila nafurahia kuona ame test game ambalo ni gumu kidogo.
 
FREE TUNDU ANTIPAS LISSU
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
 
Bro hizi nyuzi za vilio kisa ndoa huzi somagi ehh, kasome uzi wa ndoa ali andika uncle Mshana Jr.

Kuhusu kuoa bado sana, kuolewa huu Sasa utani wa ngumi๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
Wao waandike tu, wasimulie tu....mi nipo na mtoto wa mtu jua linawaka mvua inanyesha, tunagombana tunacheka, yani ni hadi afe au nife tofauti na hapo nikitoka naenda dukani tu ila narudi
 
Mkuu hapo kwenye mwanamke sahihi Ume nena vyema, ila kwenye watu 100 - basi 80 zina wagaragaza.

Wala sina noma nae, ila nafurahia kuona ame test game ambalo ni gumu kidogo.
Hapo sio gumu kwake, wewe ni nini kimekufanya uamini ni gumu?

Kama amefanikiwa kibiashara ulivyosema, uwezekano wa yeye kuwa na ndoa yenye mafanikio ni mkubwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ