Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,130
Sosi la kwenye wedding nimelimiss sana,yaani hawajaoana long time kitambo hapa mtaani,hata ndugu zangu nao hawajaoa ama kuolewa long time kitambo,hata kwa ndugu wa marafiki zangu nako kuko kimya.
WALI la harusi tamuje!!Hasa kama halitoshi vile,roho inakuwa inajisemesha "I WISH MORE" but wapi mambo ndo hivyo mpaka wakati mwingine nikajazie na ugali home ndo tumbo linakaa mwake.PILAUUUUUUU........................