Wali au Pilau kiMMU ina maana pana sana...sasa sijui mwenzetu huwa kweli wala hayo mambo!!!
Unadhani kuoa/kuolewa raha ee???
sasa kumbe kwan cyo raha?
umeoa?
Wali au Pilau kiMMU ina maana pana sana...sasa sijui mwenzetu huwa kweli wala hayo mambo!!!
dia huyo ni jinsia yako
God have mercy on us.
sijawahi kuiona kamusi ya MMU na kwetu haijapata kufika,mie natumia kamusi ya TATAKI ya iliyokuwa TUKI ambayo inapatikana mpaka kwetu mbugani
mayooo!....anadhani kuolewa rahaa! Watu kila siku tunamulikana wizi humu, afu yeye anapenda ndoa...lol
mwisho ndoa ngapi unafungisha?malaineee...