Pole sana
Technophilic Pool , au Kuna kitu hakipo sawa kwenye maombi Yako ya kuuza vipande?
Inakuaje watu wawili wametoa ushuhuda hapa kuhusu kuomba pesa na wamepikea Kwa wakati na wewe iwe na hitilafu?
Hawa jamaa wote wamejiunga na UTT Liquid. Jaribu kucheki nao wakupe dondoo za mchakato wao ulivyoenda.