Nime-request kuuza vipande vya UTT tangu Jumapili, leo ni Ijumaa bado hela haijawekwa kwene Acc? Je, ni sawa ndio inavyokuwaga?

Elimu
Elimu
Elimu
Ni muhimu MNO kwa kila jambo.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Wataalam wa UTT
nipo acc ya ukwasi

Kwa maelezo, niliambiwa ni siku mbili za kazi mpunga unakuwa ushasoma leo ni wiki.

Hadi napata wasiwasi
Mkuu mie nipo Liquid fund nili requestJ3 tar 6 , J5 tar 8 Mzigo ukaingia CRDB. Sio mara ya kwanza kufanya hivyo huenda Kuna shida mahali wasiliana nao.

NB Jmos na Jpili Huwa hawafanyi kazi, hata kwenye App Yao hakunaga updates
 
Pole sana Technophilic Pool , au Kuna kitu hakipo sawa kwenye maombi Yako ya kuuza vipande?

Inakuaje watu wawili wametoa ushuhuda hapa kuhusu kuomba pesa na wamepikea Kwa wakati na wewe iwe na hitilafu?

Hawa jamaa wote wamejiunga na UTT Liquid. Jaribu kucheki nao wakupe dondoo za mchakato wao ulivyoenda.
 
sawa
 
Back
Top Bottom