Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Afadhali leo na mimi mkimya nimemisiwa, leo itakua ni tabasamu tu kwangu mchana kutwaπππIla sio kwa kujitoa huko jamaani lol.
Basi nimekumiss mie kwa ukimya wako tu Sesten. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona amekaa kimya jamani .. au ameenda adabuni nini?[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101]
Naomba nikuchangamshe [emoji85] [emoji85] [emoji85]Mi sio mchangamfu lakini, yaani mkimyaaaa hat siongeagiπ
Si mnasemaga mmejizoeleaga eti. [emoji12]Muulize yeye asije akawa hanitaki nikaumbuka mbele za watu!
Kwa hiyo mimi sio mwanaume wa humu! ???sjakumis
Hahahaaa. Tabasamu tu Sesten.Afadhali leo na mimi mkimya nimemisiwa, leo itakua ni tabasamu tu kwangu mchana kutwaπππ
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Tumsubiri najua atakuja tu atoe neno.Mbona amekaa kimya jamani .. au ameenda adabuni nini?
Ahsante kwa kunitia moyo! Ila sijui jibu litakalotoka ni lipi? Au labda nijitambulishe hapa sebuleni kila mtu anijue vyema ...Si mnasemaga mmejizoeleaga eti. [emoji12]
Yaani katika kuimbisha kuna kukosea mistari pia. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivyo wala hutaumbuka Shem.
Akikujibu nitag shem. [emoji2] [emoji2]Kwa hiyo mimi sio mwanaume wa humu! ???
Nichangamshe tu Hajar nikishachangamka naaza kukuambia ambiaππNaomba nikuchangamshe [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama kweli vileeee eti we mkimya lol.
Tuache atoe jibu kwanza maana waeza jitambulisha ukashangaa unapewa za uso Shem.Ahsante kwa kunitia moyo! Ila sijui jibu litakalotoka ni lipi? Au labda nijitambulishe hapa sebuleni kila mtu anijue vyema ...
Wacha weeeee.Nichangamshe tu Hajar nikishachangamka naaza kukuambia ambiaππ
Hebu niite mahali basi Hajar unifanyie interview ili tuone kama mimi sio mkimyaπππHahahaaa. Tabasamu tu Sesten.
Ila hapa naumiza kichwa umeanza lini kuwa mkimya eti? [emoji12] [emoji12]
Ok shem hakuna kabaya!Akikujibu nitag shem. [emoji2] [emoji2]
Hahahaaa. Usijali Sesten ngoja nifanye maandalizi.Hebu niite mahali basi Hajar unifanyie interview ili tuone kama mimi sio mkimyaπππ
Amenuna hataki hata kunisemesha .. au nimwimbie kawimbo kwanza ...Tuache atoe jibu kwanza maana waeza jitambulisha ukashangaa unapewa za uso Shem.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sasa wewe vyombo hupigi Hajar je kubeba na kumpelekea mtu ni tatizo pia? Maana nikipata vyombo labda naweza changamka fastaππWacha weeeee.
Haya changamka basi Sesten ili uje kuniambia ambia. [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ukichelewa ntazidi kuwa mkimya ujueπHahahaaa. Usijali Sesten ngoja nifanye maandalizi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mmhhhhhh , nilipokua mdogo tukienda kwa bibi tulikua tukitaka kukamata njiwa wa Jiran.. Basi tunapanga punje za mahindi, kuanzia nje mpaka ndan,,, so njiwa akifika, anaanza kudonoa punje moja baada ya nyingine moja mpaka anakuja kustuka Yupo ndan na mlango umefungwa !!
Ndio nayoyaona. Mimi sijakumis Mkuu.
Hahahaaaa. Naukumbuka huo Wimbo Shem.Amenuna hataki hata kunisemesha .. au nimwimbie kawimbo kwanza ...
Naanza kuimba ...
Asali wa moyoo ... kimoyomoyo tu si anakumbuka mistari ya Inspekta Haroon!