Nime wamiss sana wanaume wa humu

Nime wamiss sana wanaume wa humu

Ila sio kwa kujitoa huko jamaani lol.

Basi nimekumiss mie kwa ukimya wako tu Sesten. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Afadhali leo na mimi mkimya nimemisiwa, leo itakua ni tabasamu tu kwangu mchana kutwa😀😀😀
 
Si mnasemaga mmejizoeleaga eti. [emoji12]

Yaani katika kuimbisha kuna kukosea mistari pia. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hivyo wala hutaumbuka Shem.
Ahsante kwa kunitia moyo! Ila sijui jibu litakalotoka ni lipi? Au labda nijitambulishe hapa sebuleni kila mtu anijue vyema ...
 
Tuache atoe jibu kwanza maana waeza jitambulisha ukashangaa unapewa za uso Shem.

[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Amenuna hataki hata kunisemesha .. au nimwimbie kawimbo kwanza ...
Naanza kuimba ...
Asali wa moyoo ... kimoyomoyo tu si anakumbuka mistari ya Inspekta Haroon!
 
Wacha weeeee.

Haya changamka basi Sesten ili uje kuniambia ambia. [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]

[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sasa wewe vyombo hupigi Hajar je kubeba na kumpelekea mtu ni tatizo pia? Maana nikipata vyombo labda naweza changamka fasta😎🙂
 
Mmhhhhhh , nilipokua mdogo tukienda kwa bibi tulikua tukitaka kukamata njiwa wa Jiran.. Basi tunapanga punje za mahindi, kuanzia nje mpaka ndan,,, so njiwa akifika, anaanza kudonoa punje moja baada ya nyingine moja mpaka anakuja kustuka Yupo ndan na mlango umefungwa !!

Ndio nayoyaona. Mimi sijakumis Mkuu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom