Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,921
Sema hujatongozwa kwa muda sasa, unahitaji nije?nime wamis sana sjui kwanini
nime mis uchangamfu wenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema hujatongozwa kwa muda sasa, unahitaji nije?nime wamis sana sjui kwanini
nime mis uchangamfu wenu.
Asa amesema wanaume tu[emoji3] kawamisoRudi hapa kwanza wewe
Hahaaaa. Haya Uwanja ni wako mdogo wangu sababu kama ni sifa mmezipata hasaaaa.Ngoja nianze kuchangamka kabisa maana leo sijachangamka hata kidogo Dada yangu
Hahahaaaa. Kwa nini sasa Kaka.Dada napenda saana kumisika,ila sijui kwanini leo moyo umekua mzito kidogo!
mmh mkuu hapana [emoji23] [emoji23]Poa mkuu..
Hii Golden chance vipi.....
Ngoja nijipitishe pitishe mbele bila kuongea tu...[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaaa. Haya Uwanja ni wako mdogo wangu sababu kama ni sifa mmezipata hasaaaa.
Kama mie aisee sababu toka siku ile ya uzi wa Habari za Duga basi mpaka leo ndio nakuona tena machoni.kawaida, ila nimekumiss sanaaa we kiumbe
mi si muhun kama mama akoSema hujatongozwa kwa muda sasa, unahitaji tuje.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mmh mkuu hapana [emoji23] [emoji23]
eti eeh???Kama mie aisee sababu toka siku ile ya uzi wa Habari za Duga basi mpaka leo ndio nakuona tena machoni.
Natumai umzima wa afya Kush.
hujawai toka kapa,, dk za nyongeza huwa mbabe sana weyeNgoja nijipitishe pitishe mbele bila kuongea tu...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaa. Lol.Ngoja nijipitishe pitishe mbele bila kuongea tu...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nini tena?eti eeh???
Mimi nakumiso wewe ndio mana nimekurudisha [emoji4] [emoji4]Asa amesema wanaume tu[emoji3] kawamiso
ulisha pita mbonahivi mwisho wa mwezi tayar au
Na hapa nikiweka mkeka najua hutochanika maana Russia mambo yamehitimishwa mapema tu hapo jana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hujawai toka kapa,, dk za nyongeza huwa mbabe sana weye
hayaMimi nakumiso wewe ndio mana nimekurudisha [emoji4] [emoji4]