Nime wamiss sana wanaume wa humu

Nime wamiss sana wanaume wa humu

Misahafu imefundisha vizuri, mtu akikusalimu kwa bashasha, mrudishie salamu kwa bashasha zaidi.

Nasi tumekumiss zaidi (hata kama sikujui, tumemiss salamu za bashasha na ni furaha kuona hili badala ya beef)
AMINA.
 
Back
Top Bottom