leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,340
- 1,748
Tatizo mnadanganya avt
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ana chura rafiki?
so???Niko mlimani huku nafanya maombi
umeona eeh ME wa humu wana danganya sana bora yetu sie tunaojiweka kiuhalisiaTatizo mnadanganya avt
Bila shaka nao watakuwa wameku"miso"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
santeeeUsiwe na shaka paulina ray , nasi tumekumissi pia, hivyo uwe na amani tu, ngoma droo
si wewe apo au unajifanya umesahau mambo ya Jana pale night club
Nimepoa. Ahsante.nimekuona kak mleta mada huyu ni kak angu kabisa na sio ulivyomdhani pole kaka
??Basi nisubiri nije kukupa a live offer.
acha uwogaWeee usinitafute nikatafutwa na mapanga na wazee wa JF
SKU mwemaAhaaaaa paulina ray unashangaa tena juu ya live offer? Basi ni hivi, nakuja kukuchukua hapo ulipo nikupeleke sehemu tukaongee vizuri, yatakayojiri baadaye mwamuzi ni wewe, unasemaje?
Mmmh!Jamaani. Hivyo wanaume tu.
Haya ngoja waje mwaya na mie niwaone huo uchangamfu wao. Hahahaaaa.
Nini sasa Mtani. Wakati yote hayo kayasema mleta uzi.Mmmh!
Bora umtolee ushahidi kaka yako bananimekuona kak mleta mada huyu ni kak angu kabisa na sio ulivyomdhani pole kaka
hahahahahBora umtolee ushahidi kaka yako bana