Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #21
Sawa
Karibu
Sawa
Zamani ukifika Uingereza chuo moja mambo muhimu ilikuwa unafundishwa namna ya kufunga tai.
Hizo Champagne tunakariri tu siyo kwa ajili ya kunywa bali kusherehesha.
Kwa wapenzi wa EPL watakuwa wanaona timu ikichukuwa ubingwa karibu kila mchezaji anapewa champagne ya kufunguwa kama alama ya furaha na yote ni ya kumwage kusheherekea.
Sasa Bongo ukumbi mzima mnasuburi Champagne mbili au tatu zifunguliwe ndio mmiminiane, wapi na wapi.
trueMimi siwezi kusema kitu siwezi ambacho sijawahi kujaribu mzee.
Hata ndege ukinipa naendesha japokuwa sijawahi.
Hayo mengine nimewaachia nyie
true
Unaonekana hendsam sana.Watu Eli pekee ndo hawajui kufungua shampagne?
Mimi nikialikwa Sehem hata ninvaaje lazima niwake tu, so huwa na reside Sehem ambayo sikuwa center of attention.
MImi ningekua wewe wala nisingerudi mezani kukaa ningemuashiria wife kwamba tusepe wakati hio naongoza kutoka nje ya ukumbi. Siwezi kuaibika kiasi hicho na bado nisubirie pilau 😄😄Nikweli nimeabika lakini nimejifunza.
MImi ningekua wewe wala nisingerudi mezani kukaa ningemuashiria wife kwamba tusepe wakati hio naongoza kutoka nje ya ukumbi. Siwezi kuaibika kiasi hicho na bado nisubirie pilau 😄😄
Next time kitu kama hujui sema sijui, usijilazimishe.
Hapana mkuuUnaonekana hendsam sana.
Daah ila GunnerHapana mkuu
bas kubaliana na aibu ndogo ndogoSiwezi sema kitu sijui kama sijajaribu Mr.Komwe
Mpka leo nawaza sijui nipate wapi darasa la kujifunza hayo mambo😃😃🤣🤣😄😆