Nimeabika; Nimeshindwa kufungua Shampeni kwenye harusi



Kibongobongo ufungue champagne alafu uiweke yote chini watu watakulaani sana aiseeh
 
MImi ningekua wewe wala nisingerudi mezani kukaa ningemuashiria wife kwamba tusepe wakati hio naongoza kutoka nje ya ukumbi. Siwezi kuaibika kiasi hicho na bado nisubirie pilau 😄😄

Nilipewa leso ya kujifutia. Licha ya kuwa nimevaa miwani lakini nilijiona kama nipo uchi mbele ya umati
 
1.umeniangusha sana kushindwa kufungua shampen
2.ulihakikisha anaeolewa ana bikra Kwa mujibu wa watibeli au ulienda kuwachora ?
 
Mkuu nikiwa form nyoya pale rock city green, Kuna mdada wa usafi alikuja kutupa stori kuhusu mwalimu wetu wa kiswahili Mzee wa tungi, yes ni mlevi haswa Yani anakunywa tungi balaa lakini kwenye sherehe ya waajiriea hapo shuleni Champaign ili mchomoa🤣🤣🤣 unaambiwa alihaibika balaa, na ujanja wote kwisha bhaaaaaash
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…