Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yametafutwa makaburi na makaburi hayo yamefukuliwa.Wakati tukijipa break kusubiri mwendelezo, tupate kitu cha ku-refresh!
Best wishes kwa wanachuo .......
Leo baadhi ya wanachuo wa vyuo mbalimbali hapa nchini wanaanza mitihani yao ya kumaliza semister, vyuo hivyo ni kama UDSM, UCLAS etc. Mimi kama mmoja wa wanachuo hao, napenda kuwatakia baraka na fanaka katika kipindi chote cha mitihani. BEST WISHES!www.jamiiforums.com
Wakati tukijipa break kusubiri mwendelezo, tupate kitu cha ku-refresh!
Best wishes kwa wanachuo .......
Leo baadhi ya wanachuo wa vyuo mbalimbali hapa nchini wanaanza mitihani yao ya kumaliza semister, vyuo hivyo ni kama UDSM, UCLAS etc. Mimi kama mmoja wa wanachuo hao, napenda kuwatakia baraka na fanaka katika kipindi chote cha mitihani. BEST WISHES!www.jamiiforums.com
Twende kazi CharlotteiNAENDELEA......
Niliondoka kwa tabasamu na bashasha kurudi hostel (Douglass Houghton) huku nikimshukuru Mungu kwa kunikutanisha na Charlote. Chuoni hapo, nilikua nimejenga urafiki na wanafunzi raia wa Kinaigeria kama watatu, mmoja tulikuwa tuna-share room, wengine wawili walikuwa wanaishi nje ya chuo katika "Blanche Apartments" jirani na Townsend Drive. Mara kadhaa tulikuwa na tabia ya kutembeleana na kusaidiana katika mambo mengi ikiwemo masomo (ofcourse kwa sehemu kubwa mimi ndiye nilikuwa nawasaidia kielimu).
Jioni ile (Jumamosi) nilikubaliana na roomate wangu twende kwa wadau(Blanche Apartment) ili tuwashawishi tukavunje ngoma za masikio yetu club. Wale wanaijeria walikua na pesa sana, walimudu kuishi kwenye Apartment za gharama na walikuwa na usafiri binafsi, kwa sehemu nilijua fika kwamba wananipenda kwa sababu ya uwezo wangu darasani, ila sio kwa utajili, kwani nilikua kapuku tu ninayetegemea scholarship kusoma na kuishi.
Tulipofika kwenye zile apartments tukawakuta wale wadau( wanaigeria wawili) pamoja na wanafunzi wengine kama ishirini, wengi wakiwa ni wanafunzi wakike. Kulikuwa na house party iliyoandaliwa na wale jamaa zetu, hawakututaarifu kwa kuwa hawakutaka usumbufu wetu (tulikuwa tunalewa sana), hivyo walivyotuona, walitukaribisha kwa utetezi hafifu wa kwa nini hasa hawakutupa taarifa mapema.
Kulikuwa na pisi za kizungu na ma black wenzetu, nilijisemea kimoyo moyo, hapa hakuna kama Charlote, mawazo yangu yote yalimuwaza yule mtoto, hakunitoka kichwani. Muda wote nilishindwa kabisa kunywa pombe, nilikuwa mpenzi sana wa bia mbili, "Soft Parade" na "Bohemian-style pIlsner". Jamaa yangu(roomate) aliona mabadiliko kwamba siko sawa, akaniuliza nini shida, "Yetinde, its all about Charlotte, i can't get her off my thoughts" nilimjibu hivyo kwamba, Charlotte ametawala mawazo yangu, tangu amenipa namba yake, ni kama nimerogwa, akili yangu imekuwa stack, sitaki kuwaza mengine zaidi ya huyo binti. (roomate wangu alikuwa anaitwa Yetinde).
Yetinde alikuwa anajua story nzima ya Charlote, kwani ni roomate wangu na tulikuwa tunashirikishana mambo mengi. Alijaribu kunishawishi nipige "Soft Parade" kadhaa, nikagoma baadae akaleta wazo la kumualika Charlote kwenye house party. "Now you're talking mate" nilimjibu kwa furaha huku akili ikawa kama imetoka usingizini. Tangu Charlote anipe namba (Jana Ijumaa) sikuweza kumtafuta kwa sababu mbalimbali ikiwemo na uwoga, lakini baada ya maongezi na Yetinde, nilikubali wazo la kumuita Charlote katika Apartments za kifahari za "Blanche Apartments"
Nilikunywa BS-Pilsner kama tatu hivi kuondoa uwoga, nikapanda up-stairs kwenye balcony ili nipate privacy na utulivu wa kumpigia Charlotte Middleton binti Peters. Mwamba kwa kujiamini nilibofya namba za mrembo huku nikisubiri kwa muda apokee simu.
"hallo, who's speaking" simu ya upande wa pili iliitika hivyo, sauti ile ilipenya vilivyo kwenye mishipa ya damu yangu, nikasisimka kwa furaha baada kupokelewa simu na superbeauty Charlote. "Its Jerusalem 2006, do you remember me"? Mwamba nika-repry bila dalili zozote za aibu wala uoga, "Oooh yeah, i remember you Jerusalem, how you doing?" Basi nilipiga story mbili-tatu na mtoto kabla sijampa mualiko wa kuja kwenye house party. "Can i take you out tonight"?, nilimuomba, binti alisita kidogo, kwani hakuwa amejiandaa na ombi hilo, alijua nimepiga kumsalimia na kuanzisha mawasiliano baina yetu, kumbe mwamba nina malengo ya kumvusha swala kwenye mto wa mamba.
Baada ya maongezi marefu nikafanikiwa kumshawishi aje kwenye house party, (japo nikamueleza sio private date kwani kuna watu wengi).
Kutoka Michigan Tech University mpaka Blanche Apartments ni kama Dakika kumi tu kwa gari, sio mbali hata kidogo. Nilirudi chini kwenye vibe kumsubiri baby Charlote. Wakati huo Yetinde, na wale wadau wengine wa kinageria walikua wamependeza sana, vurugu kama zote. Nikafungua na kushushia PS-Pilsner nyingine huku nikisubiri simu yangu iite. Baada ya Dakika 45 hivi, sms ikaingia kwenye simu yangu kuashiria kwamba Charlote amefika. Nilitoka nje ya apartmentment ya jamaa zangu moja kwa moja mpaka kwenye main entrance. Nika-swipe card getini kuruhusu gari la mrembo liingie ndani. Haraka sana nilimuwahi kwenye parking kabla hajafungua mlango wa gari yake ila sikufanikiwa, nilivyoikaribia gari, Queen in red alishuka kutoka kwenye gari, with a red shining royal dress, mapaja meupe ya Charlotte yalikua nje, alitupia glass-hills zenye kamba mpaka magotini, i thought nimeona uzuri wake before, kumbe moto nilikuwa sijauona.
Nilibaki nimeduwaa na kumshangaa kama dakika moja hivi, huku akiwa ananisogelea. Nilishtuka mtoto akiwa mbele yangu, mithili kama nitoka kukawa na jinamizi. "Charlotte, you are the most gorgeuos queen i,ve ever seen" nilijikuta nabwabwaja pale na kizungu changu cha tandale. Mtoto ali smile kidogo , nikamkumbatia na kumpa "a cheak kiss".
Nilimkaribisha Charlotte ndani ya House Party, macho yote yalikuwa kwa mrembo Charlotte, mademu wa kiafrica waliokuwa pale kwenye Party hawakuacha kusonya(kwa uzuri lakini) huku miamba iliyokuwa tungi sana iki-nod vichwa vyao kuusharia wameukubali uzuri wa Charlote. Kwa lugha rahisi, she was an Angel.
Charlotte alikuwa anatumia kilevi , tena niligundua ni mywaji mzuri sana wa pombe kali. Alipendelea zaidi "Journeyman Featherbone whiskey", basi baada ya muda kupita tuliongea mengi na nikagundua mengi sana kuhusu Charlote, alikua anatoka kwenye familia yenye uwezo, kwa baba yake raia wa Canada na mama yake anatoka Ecuador. Alikuwa anasomeshwa moja kwa moja na baba yake( hakuwa na scholarship), japo darasani mambo hayakuwa yanamuendea vizuri.(niahidi kumsaidia japo mimi nilikuwa mwaka mmoja nyuma).
Baada ya maongezi, tulicheza sana mziki, tukalewa sana mpaka mida ya saa kumi asubuhi, nilimsindikiza Charlotte mpaka kwenye gari yake kwani alikuwa amelewa sana.
Charlotte alikuwa hajiwezi kabisa, hivyo nilimuomba nimpeleke mpaka Hostel kwake (Wardworth Residence) alikubali, mwamba nilidrive gari ya mrembo aina chevrolet cruze mpaka kwenye parking ya Hostel, nikamsaidia Charlotte mpaka room kwake kwa maelekezo yake. Alikuwa anaishi mwenyewe, chumba kilikuwa self-contained na Jiko, so alikuwa amejitosheleza. Wakati wote tangu namtoa Charlote House Party mpaka room kwake, "Uncle" alikuwa amesimama muda wote, yaani kila nikiyatazama mapaja ya Charlote ndio kwanza ma ute ute yanagonga hodi, nilimshika kiuno chake wakati wote wa kumsaidia, mwamba nikasema moyoni, leo mbuzi kafia kwa muuza supa, hapa lazimi nile tunda la kichotara kwani tangu kuzaliwa kwangu nimekuwa nasumbuka na papuchi za kinyamwezi na kisukuma tu, tena nyingine zinanuka ugoro, nikasema leo lazima nionje mtoto wa ki-Canada mixer Ecuador.............
ITAENDELEA......................................
Mi nimeelewa mbona...huko US ulikuwa unachukua Bachelor Degree....huku Bongo Masters Degree. Au sio JERUSALEM 2006Let me make this Clear;
JF- tunatumia fake IDs sikujui, wala hunijui. Na hujui kama hii account ninayotumia ku-narrate hii story ni ya kwangu au nimeazima kwa mtu,
So relax, enjoy the story behind bila kuwa na viswaswadu vya wivu.
Relax.
Let me make this Clear;
JF- tunatumia fake IDs sikujui, wala hunijui. Na hujui kama hii account ninayotumia ku-narrate hii story ni ya kwangu au nimeazima kwa mtu,
So relax, enjoy the story behind bila kuwa na viswaswadu vya wivu.
Relax.
Hahahah halafu eti wamefuta contents zote zimebakia quotes tu za wadauYametafutwa makaburi na makaburi hayo yamefukuliwa.
Viva JeieFu.
ATTENTION!!!!’
Naomba niweke Clear Jambo Moja.
Simulizi hii ni ya Kweli, ilinikuta mimi Kati ya mwaka 2012 mpaka 2018 niliporejea nchini.
Kila siku nitakuwa naweka episodes mbili mpaka pale nitakapomaliza.
Mwanzoni account hii ilikuwa inatambulika kama ‘JJB’ Nimemuomba JJB aniazime account yake kwa muda ili ni-narate story yangu then nitamrudishia account yake.
Mimi naitwa ‘Jerusalem 2006’ ila mwamba mwenye account anaitwa ‘JJB’, sikuwa na account JF zaidi ya kuwa external visitor.
Nitaambatanisha navyeti vyangu mwisho wa Story hii.
Kikubwa ninaomba ushauri wa kweli kuhusu damu yangu, sitaki utani wala mazoea hapa.
Kwa sababu ya muda nitaendelea kesho
Thanks
ATTENTION!!!!’
Naomba niweke Clear Jambo Moja.
Simulizi hii ni ya Kweli, ilinikuta mimi Kati ya mwaka 2012 mpaka 2018 niliporejea nchini.
Kila siku nitakuwa naweka episodes mbili mpaka pale nitakapomaliza.
Mwanzoni account hii ilikuwa inatambulika kama ‘JJB’ Nimemuomba JJB aniazime account yake kwa muda ili ni-narate story yangu then nitamrudishia account yake.
Mimi naitwa ‘Jerusalem 2006’ ila mwamba mwenye account anaitwa ‘JJB’, sikuwa na account JF zaidi ya kuwa external visitor.
Nitaambatanisha navyeti vyangu mwisho wa Story hii.
Kikubwa ninaomba ushauri wa kweli kuhusu damu yangu, sitaki utani wala mazoea hapa.
Kwa sababu ya muda nitaendelea kesho
Thanks