Mods wanasemaje kuhusu suala la kuchangia akaunti?
Nadhani haina tatizo, ili mradi tu isiwe kwa uvunjaji wa sheria.
Ila baada kufukua kaburi naona kadelete contents za makaburi, hii inaibua walakini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mods wanasemaje kuhusu suala la kuchangia akaunti?
Nadhani haina tatizo, ili mradi tu isiwe kwa uvunjaji wa sheria.
Ila baada kufukua kaburi naona kadelete contents za makaburi, hii inaibua walakini.
Nadhani haina tatizo, ili mradi tu isiwe kwa uvunjaji wa sheria.
Ila baada kufukua kaburi naona kadelete contents za makaburi, hii inaibua walakini.
Mhusika mwenyewe amefuta content mahsusi kwa sababu hakutaka kuamisha watu kutoka mada hii kwenda ulizo ziquote.
Pia, amefuta ili wewe usiendelee kuwa kirusi cha kutoa watu kwenye reli.
... ila story hii ikifika mwisho nitakuumbua kwa kuweka vyeti.
Leta story.Ninakujibu kwa sababu unazidi kutoa watu nje ya mada yangu na kusudio hasa la mimi kuleta uzi huu.
Mhusika mwenyewe amefuta content mahsusi kwa sababu hakutaka kuamisha watu kutoka mada hii kwenda ulizo ziquote.
Pia, amefuta ili wewe usiendelee kuwa kirusi cha kutoa watu kwenye reli.
Mwisho; its up to you, to believe this or not, whether ni chai au maandazi hilo ni la kwako, wewe ni mtu mzima, at the end of the day hatufahamiani humu ndani; ila story hii ikifika mwisho nitakuumbua kwa kuweka vyeti.
Sitamjibu yeyote tena zaidi ya kuendelea na story yangu, kwani nina siku chache tu kabla sijabanwa sana na majukumu mengine.
Asante
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] fala sana jamaaMzee tupo kukufatilia hakikisha unachanganya na story za mademu miksa kudeki bahari yani kupiga tako kadhaa mikunjo mara tako kubwa la kuning'ing'inia Ili mradi vurugu tu n siku siku iende
Mkuu umepotea kabisaATTENTION!!!!’
Naomba niweke Clear Jambo Moja.
Simulizi hii ni ya Kweli, ilinikuta mimi Kati ya mwaka 2012 mpaka 2018 niliporejea nchini.
Kila siku nitakuwa naweka episodes mbili mpaka pale nitakapomaliza.
Mwanzoni account hii ilikuwa inatambulika kama ‘JJB’ Nimemuomba JJB aniazime account yake kwa muda ili ni-narate story yangu then nitamrudishia account yake.
Mimi naitwa ‘Jerusalem 2006’ ila mwamba mwenye account anaitwa ‘JJB’, sikuwa na account JF zaidi ya kuwa external visitor.
Nitaambatanisha navyeti vyangu mwisho wa Story hii.
Kikubwa ninaomba ushauri wa kweli kuhusu damu yangu, sitaki utani wala mazoea hapa.
Kwa sababu ya muda nitaendelea kesho
Thanks
Labda tumsubiri atoke chato kesho kutwaUmeenda kanisa gani?
Kama ni st Peter's utuambie nini kinaendelea huko,amajitokeza??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]humu ndani kuna vituko story za vijijini zinakubalika faster ila mtu akishasema alikuwa mbele basi lazima iwe chai aiseee [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Shida ndiyo inaanzia hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]watu wana wivu balaaa kuanzia kwa khumbu hadi hii ya USA tatizo ni abroadhumu ndani kuna vituko story za vijijini zinakubalika faster ila mtu akishasema alikuwa mbele basi lazima iwe chai aiseee [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]