Nimeacha damu yangu ughaibuni (Michigan, US) kisa ni ubaguzi wa rangi. Ushauri please

Nadhani haina tatizo, ili mradi tu isiwe kwa uvunjaji wa sheria.

Ila baada kufukua kaburi naona kadelete contents za makaburi, hii inaibua walakini.

Ninakujibu kwa sababu unazidi kutoa watu nje ya mada yangu na kusudio hasa la mimi kuleta uzi huu.

Mhusika mwenyewe amefuta content mahsusi kwa sababu hakutaka kuamisha watu kutoka mada hii kwenda ulizo ziquote.

Pia, amefuta ili wewe usiendelee kuwa kirusi cha kutoa watu kwenye reli.

Mwisho; its up to you, to believe this or not, whether ni chai au maandazi hilo ni la kwako, wewe ni mtu mzima, at the end of the day hatufahamiani humu ndani; ila story hii ikifika mwisho nitakuumbua kwa kuweka vyeti.

Sitamjibu yeyote tena zaidi ya kuendelea na story yangu, kwani nina siku chache tu kabla sijabanwa sana na majukumu mengine.

Asante
 
Mhusika mwenyewe amefuta content mahsusi kwa sababu hakutaka kuamisha watu kutoka mada hii kwenda ulizo ziquote.

Pia, amefuta ili wewe usiendelee kuwa kirusi cha kutoa watu kwenye reli.

Ooh, mwanzo ulisema umemwomba uitumie kwa muda, ila baada ya hapo unasema mwenyewe amefuta, which means mnaitumia wote kwa wakati mmoja.

Anyway hainihusu hii, tuletee story.

... ila story hii ikifika mwisho nitakuumbua kwa kuweka vyeti.

Personally hakuna mahali nimesema story siyo ya ukweli, isipokuwa ni ule mkanganyo kwa sababu wakati ulio onyesha kwamba ulikuwa Michigan, ndo wakati huo huo ulikuwa Coet.

Hili umeshalijibu, nadhani tuendelee na hadithi, ikifika mwisho tutatoa ushauri.
 
Leta story.
Mambo ya ukweli au uongo utadhibitisha mwisho wa story.....
 
Mzee tupo kukufatilia hakikisha unachanganya na story za mademu miksa kudeki bahari yani kupiga tako kadhaa mikunjo mara tako kubwa la kuning'ing'inia Ili mradi vurugu tu n siku siku iende
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] fala sana jamaa
 
Mkuu umepotea kabisa
 
Kuna wana hacheni uxxxg mtu anaandika simulizi yake .iwe chai au ukweli kwani umelazimishwa kusoma?
Ukiona ni chai piga kimya wengine tuendelee kusoma [emoji119]
 
Hiyo cheak kiss sijui inakuaje, mambo ya USA baby.

Jamaa nae kapotea mazima sujui, anaomboleza msiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…