Nimeacha damu yangu ughaibuni (Michigan, US) kisa ni ubaguzi wa rangi. Ushauri please

humu ndani kuna vituko story za vijijini zinakubalika faster ila mtu akishasema alikuwa mbele basi lazima iwe chai aiseee 🀣 🀣 🀣
Kuna watu humu jf wanasumbuliwa na "wivu" sana
 

Yale yale yapi mkuu?
Tusonge pamoko kwenye hii stori,utanielewa tu mkuu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mzee baba weka stori, hata kama ni multiple ID sisi tumekusamehe...

Ila kumbuka umekimbia child support, na sijui kama hujatandikwa muhuri wa moto
 
Unaweza haswa!
 
Kweli nimeamini Kiingereza kilikuwa kinakupa shida na bado kinakutesa, eti "cheak kiss" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Au ulitaka kuandika "cheek kiss"?
Nime-notice makosa kadhaa lakini kwa vile ni engineer, sikujali, ila nilishangaa kwa skill yake ya kuandika story/script nilitegemea makosa kuwa kidogo. lakini not a big deal tunaeelewa ulitaka kumaanisha nini.
 
Nadhani huyu mwamba mmemdis sana. Mmefukua makaburi yake hivyo amepoteza confidence ya kuendelea na stori.
Na hili nalo ni tatizo letu wabongo, lakini ukimpa mtu assignment aandike para 1, most likely haiwezi kuwa na mvuto kufikia hata 1/20 ya huyu bwana.
Kamanda usikatishwe tamaa please go ahead. wakiendelea kukuzengua iweke kwa kizungu watajiondoa wenyewe.
 
Shida ndiyo inaanzia hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]watu wana wivu balaaa kuanzia kwa khumbu hadi hii ya USA tatizo ni abroad

πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…